Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Bwana Yesu Asifiwe! Kama kawaida nikiwa kama mchungaji nimegundua kitu kinachowagharimu vijana wengi walio vyuo vikuu wanapojihusisha na mapenzi na wana chuo wenzao, unakuta wote mnapata mkopo...
3 Reactions
101 Replies
13K Views
Nahitaji kampani ya watu wazima (wanawake)walio arusha&Dar kuchart na kubadilishana mawazo!!let meet giftedlawyer@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwaka 2012 nilitokea kumpenda msichana mmoja mrembo alikua nesi yeye, mi niliajiriwa kwenye ofc moja hivi hapa mjini, tulipendana sana mpaka kwao alinitambulisha na kwetu pia nilimtambulisha...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Ukibahatika kwenda Marekani na ukawa na akiba ya viji cent usisahau kutembelea ktk jiji la Las Vegas lililopo ktk jimbo la California huko kuna starehe za kufa mtu,watu wanatumbua noti kama hawana...
1 Reactions
105 Replies
20K Views
Habari zenu wandugu na jamaa......poleni na majukumu. na kwa wale waliopitiwa na operesheni ya kukamua majipu ya MAGUFURI poleni......na kwa wale wazalendo kama mimi kwa hakika nyoyo zetu...
13 Reactions
107 Replies
16K Views
Nimekuwa nikiona wasichana wengi wakifanyiwa kitchen party kwa lengo la kufundwa kwa kizazi cha sasa ambacho wasichana wanapika na kupakua tena wengi wakiishi na wanaume kabla ya ndoa. Sasa je...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hakuna salamu hapa! Moja kwa moja through the point! Dada zangu mnaachwa kwa kwa ajili ya uzembe wenu na wa kujitakia! Mme akirudi ndani, vaa kanga tepetepe iliyolowana maji! Kanga moja, au...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
friends nilikuwa nimeomba tenda flani mkoani na nilitegemea nitapata but sikupata.ila Nina mke na watoto watatu nimerudi nyumbani chumba kiko rafu watoto rafu mke wangu naye ananiona nimekasirika...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Naandika hili kwa huzuni na si kwa nia ya kuamsha hamasa ya kimapenzi. Ninaomba nisimulie visa vya mabinti wawili hawa; Binti wa leo nimezoeana naye kwa muda mrefu saana. Nilikuwa ninasoma makala...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume mtu mzima umri wangu ni miaka kati ya 45 na 50 natafuta rafiki mwanamke(kampani) nitakae kwenda nae ktk ukumbi wa Harusi Hapa Dar es salaam siku ya IJUMAA TAREHE 4/11/2015...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni msichana wa miaka 28. Nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na kijana mwenye umri sawa na wangu. Tulidumu kwa muda wa miezi nane. Mwanzoni mwa mahusiano yetu, tulipendana sana. Baadae...
0 Reactions
52 Replies
10K Views
  • Closed
guys nahitaji kujua tofauti na kuachana nae ni njia ipi ni best revenge kwa mpenzi(Wa kike) aliyekusaliti japo unaendelea kuishi nae? njia itakayomuumiza zaidi for long time I mean WWIII kati...
0 Reactions
83 Replies
9K Views
1. TAMAA zenu Mnaweza kumtamani mwanamme yeyote kimapenzi isipokuwa mama zetu tuu hawawezi fanya hivyoo 2. KUHUSU Hulka zenu Huwa mnaonyesha upendo wazi wazi kwa mwanammeisipokuwa kwa wale ambao...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Ndugu zangu, Huko nyuma niliwahi kupata dhahama ya kuanguka dhambini na mtumishi wetu wa ndani, na bila kutarajia akapata mimba, kwa kuwa nilikua under Satan's influence nikaikana ile mimba...
1 Reactions
119 Replies
16K Views
TANZIA: Habari zenu wapendwa wenzangu wa hapa jamvini, Nimepokea taarifa ya majonzi na ya kuhuzunisha ya kuondokewa na kipenzi chetu mama yake lady doctor ambaye alifariki Jumamosi ya...
4 Reactions
95 Replies
11K Views
Habari zenu wana JF, As usual, hivi mwanaume kinachokufanya uwe na mtumbo huooo kama hauendi chooni maana yake nini? angalau wanawake wana cha kusingizia(uzazi) japo sio sana. Yaani siku hizi...
11 Reactions
782 Replies
67K Views
Hello, Jirani yamemkuta, rafiki yake wa kiume anatoka kimapenzi na mama yake mzazi kabisa wa kumzaa.
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Wakuu heshima kwenu, Muda sasa umefika wa kuchagua mmoja kati ya, ili nianze rasmi kujiandaa na ndoa ninawapenzi watatu, wote wanasifa tofauti hapa, na wote nawapenda, lakini nafasi ni moja...
1 Reactions
63 Replies
7K Views
Natafuta mwanamke wa kuzaa naye, umri 18-30 aliyetayari anipm Ahsante sana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom