Natafuta mke mwema

Natafuta mke mwema

brownny

Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
59
Reaction score
17
Naingia jukwaa hili nikiwasilisha hitaji langu la muhimu, natanguliza shukrani zangu za dhati kwa waanzirishi wa jukwaa hili,wametupafanya tupate pa kusemea.

Naamini mke au mume anaweza kupatikana popote pale ili mradi panakutanisha watu.
Mizaha na matusi si tarajio langu. Kama si muhitaji please pita kwa amani.
Ni kwa aliye serious tu plz.

SIFA ZANGU
Umri: 36
Elimu: degree.
Dini:Mkristo.
Kazi: biashara
Kabila:Msukuma wa shinyanga.
Makazi: dar/shinyanga

SIFA ZA MKE NIMTAFUTAE;
Umri:28-36
Elimu: yoyote.
Dini:mkristo
Kazi:shughuli yoyote inayomuingizia mipato halali
Kabila:lolote
Makazi:awe anaishi dar,mor,nzega, Igunga au shinyanga.
Kwa yoyote aliye serious anakaribishwa, nitumie private message tuwasiliane.
 
Duh, wa nje ya hapo hatutakiwi. napita tu ................
 
Tena msukuma pure, tena napenda niolewe na msukuma mwenzangu
 
bora bestito hujatokea pande hizo hao wasukuma ni matapeli sana na akikuweka ndani lazima awe na punyeto la nje wabaya sana hao
Duh, wa nje ya hapo hatutakiwi. napita tu ................
 
Hamna kitu kama hicho kaka zangu akikuoenda kakupenda kweli siyo usanii wa kiswaz
 
Hamna kitu kama hicho kaka zangu akikuoenda kakupenda kweli siyo usanii wa kiswaz

Naamini hakuna kabila lililo kamilika, so si vzr kugeneralize, ni jajiwe mim as mimi. Dahimira yangu ni njema, na nilisha toa angalizo tangu awali kama huna uhitaji upite kwa amani. Sasa kejeli hiz zinafika wapi?
 
Mwenye muhitaji naendelea kungoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom