Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huyu jamaa yangu aliyekuwa anajiita kidume cha mbegu yaani kila akiona kichaka kabanwa. Nilimshauri sana ila ndio sikio la kufa na pia kunizidi umri ikajenga dharau za kusema wewe bado bwanamdogo...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wadau, Mimi nna mke na mtoto mmoja tupo kwenye ndoa kwa takribani miaka mitatu. Kabla ya ndoa alikua anatoa penzi vizuri tu wakati wowote. Lakini baada ya ndoa amekua anapanga ratiba...
0 Reactions
190 Replies
25K Views
Nina mawazo sana juu ya maisha, anayejickia kuchart anipm 2badilishane mawazo mawili ma3. regards am "me" ur welcome "ke".
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Wewe na mpenzi au mwenza wako mmeachana au kutalikiana kwa wale wenye ndoa sikatai. Hoja yangu ni kwanini umnunie shemeji au wifi yako hadi kutokusalimiana? Je, ni uungwana ama ni halali...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Ndugu yenu nimeachwa na mwanamke niliependa, mwanamke wa ndoto zangu, mwanake nilietamani kuwa nae toka niko shule, nimetumia muda, nguvu, pesa na jitihada nyingi kuwa nae...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
  • Closed
Sina jinsi nitakua nje ya nchi kwa mwezi huu wote labda mambo yakienda vizuri wakati wa siku kuu nitarudi japo possibility ni ndogo ni safari ya kikazi(sio ya kiserikali) hofu yangu kubwa ni...
0 Reactions
105 Replies
11K Views
Bwana Yesu Asifiwe! Kama kawaida nikiwa kama mchungaji nimegundua kitu kinachowagharimu vijana wengi walio vyuo vikuu wanapojihusisha na mapenzi na wana chuo wenzao, unakuta wote mnapata mkopo...
3 Reactions
101 Replies
13K Views
Nahitaji kampani ya watu wazima (wanawake)walio arusha&Dar kuchart na kubadilishana mawazo!!let meet giftedlawyer@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwaka 2012 nilitokea kumpenda msichana mmoja mrembo alikua nesi yeye, mi niliajiriwa kwenye ofc moja hivi hapa mjini, tulipendana sana mpaka kwao alinitambulisha na kwetu pia nilimtambulisha...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Ukibahatika kwenda Marekani na ukawa na akiba ya viji cent usisahau kutembelea ktk jiji la Las Vegas lililopo ktk jimbo la California huko kuna starehe za kufa mtu,watu wanatumbua noti kama hawana...
1 Reactions
105 Replies
20K Views
Habari zenu wandugu na jamaa......poleni na majukumu. na kwa wale waliopitiwa na operesheni ya kukamua majipu ya MAGUFURI poleni......na kwa wale wazalendo kama mimi kwa hakika nyoyo zetu...
13 Reactions
107 Replies
16K Views
Nimekuwa nikiona wasichana wengi wakifanyiwa kitchen party kwa lengo la kufundwa kwa kizazi cha sasa ambacho wasichana wanapika na kupakua tena wengi wakiishi na wanaume kabla ya ndoa. Sasa je...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hakuna salamu hapa! Moja kwa moja through the point! Dada zangu mnaachwa kwa kwa ajili ya uzembe wenu na wa kujitakia! Mme akirudi ndani, vaa kanga tepetepe iliyolowana maji! Kanga moja, au...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
friends nilikuwa nimeomba tenda flani mkoani na nilitegemea nitapata but sikupata.ila Nina mke na watoto watatu nimerudi nyumbani chumba kiko rafu watoto rafu mke wangu naye ananiona nimekasirika...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Naandika hili kwa huzuni na si kwa nia ya kuamsha hamasa ya kimapenzi. Ninaomba nisimulie visa vya mabinti wawili hawa; Binti wa leo nimezoeana naye kwa muda mrefu saana. Nilikuwa ninasoma makala...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume mtu mzima umri wangu ni miaka kati ya 45 na 50 natafuta rafiki mwanamke(kampani) nitakae kwenda nae ktk ukumbi wa Harusi Hapa Dar es salaam siku ya IJUMAA TAREHE 4/11/2015...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni msichana wa miaka 28. Nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na kijana mwenye umri sawa na wangu. Tulidumu kwa muda wa miezi nane. Mwanzoni mwa mahusiano yetu, tulipendana sana. Baadae...
0 Reactions
52 Replies
10K Views
  • Closed
guys nahitaji kujua tofauti na kuachana nae ni njia ipi ni best revenge kwa mpenzi(Wa kike) aliyekusaliti japo unaendelea kuishi nae? njia itakayomuumiza zaidi for long time I mean WWIII kati...
0 Reactions
83 Replies
9K Views
Back
Top Bottom