Nampenda lakini nasita kumwambia

Nampenda lakini nasita kumwambia

MERCENARY2015

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
399
Reaction score
284
Ni kipindi kirefu tangu huyu binti nikutane nae toka shule ya msingi mpaka leo tupo vyuo tofauti jijini dar es salaam Ila nashindwa kumwambia ukweli....
Nifanyeje ili niweze kumwambia ama atambue kwamba nampenda kweli!!!
Naombeni ushauri
 
Yani hata kwenye udomo zege umepitiliza, naona mdomo umekua sakafu kabisa
 
Umefata masomo au mapenz hapo chuoni?
 
Unaijua Disco, Supp, Carry, G.P.A?

Kama unavijua vizuri huwezi waza ujinga chuo.
 
Dogo kama ni mhanga wa Nyeto huwezi wafungukia mabinti... Acha mchezo huo.
 
Muandikie barua mwaya, elezea kila kitu kilicho moyoni mwako,
Km na yy anakupenda atakupa jibu zuri.
 
Unasoma course gani hapo UDOM?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom