Mrejesho: Nilimkopesha pesa, baada ya kunipa penzi, kagoma kulipa

Mrejesho: Nilimkopesha pesa, baada ya kunipa penzi, kagoma kulipa

Joined
May 18, 2015
Posts
83
Reaction score
95
Ladies and gentlemen i great you all

Earlier this month nilipitiwa na shetani, accidentally nikajikuta nimetembea na mama mumoja, a workmate ambaye nilikua nimemupa loan ya six hundred thousand before we slept
Later that lady who is pregnant and close to delivery refused to payback my money, kwa vile nilitembea naye ndio pesa namdai imetumika hivyo

Feedback

Nearly a week or so nimekwenda kuona boss wetu kuhusu pesa hiyo, anisaidie yule mama anipatie, niliambia boss kwamba nilimpa loan on humanitarian grounds since alisema ana shida nyumbani kwake atarudisha on payday 23 October but to this date hajalipa
Boss akaita yule mama na mama akasema hajawai pokea chapaa yoyote kutoka kwangu, tukaanza bishana hapo

Ikawa my words against her's and vice versa, nikaonesha boss sms moja from her to me ikisema. "Usijali nitakulipa tu nikiwa ok".
But to my surprise our boss defended her and dismissed that case kwamba company haiusiki na staff kukopeshana pesa na haikuwako siku tunapeana
I have never understood him to this date

Vile tulitoka kwa boss jioni aliniambia ya kwaba "" ww ulipeleka shida hii kwa Jf sasa watakulipa Jf, kwaba "unanisumbua na pesa kidogo tu hiyo, kama ni million mia moja si ungeend kwa TV!!

Now this is my reply to her

Am giving you only 3 days, kama bado kulipa baada ya hiyo time, nitatafuta simcard ingine na kumtumia husband yako sms kwaba hiyo mimba uko nayo si ya kwake ni kwangu, that, nimekua na relationship na ww for a year, na sasa hiyo ni mimba yangu, na nitasema asijisumbue kusubiri mutoto, ni wakangu mm

Then nitatuma hiyo SMS, sasa wacha tuone kama utabaki kwa hiyo marriage, na nitaendelea kutuma sms whenever necessary
Am giving you only 3 days before i execute this plan

I never knew if Tanzanian women are shameless to this extent,
Besides, she is the one who seduced me, kumbe ana mupango wa kunidhulumu pesa, aje aseme iliisha vile tulilala, mm sijawahi patia mwanamuke zaidi ya fifty thousand

I also have a family to take care of

Now let us see
 
Achana naye utauuawa mke wa mtu sumu, akikugeuzia issue utajutaa kumfahamu
 
:laugh::laugh::laugh::laugh:

Hivi huko kwenu ndiyo kuna free lunch?

I just loved the boss......Tangu lini kampuni ikaanza kujihusisha na mambo ya mahaba?

Let me warn you....that strategy will end up ruining your own marriage. She is smarter than you so far...!
 
Achana naye utauuawa mke wa mtu sumu, akikugeuzia issue utajutaa kumfahamu

Spot on.....Huyo mwanamke keshakamata watu (siyo mtu) masikio...

Huyo jamaa anatakiwa kuchanga karata zake vizuri.

Kama hajawahi kuhonga zaidi ya 50K, achukulie kwamba sasa amehonga mara 12!!!
 
This is vere big mataa........let's go to sii Magufuli.......wallah she will pay.......

Jamaa kakosa maujanja na sasa itakula kwake.

Nina hakika huyo mwanamke ni mjanja hata Preta haoni dani!!

Maskini dogo kutoka Kenya hakujua kuwa hii ni bongo Darisalama!
 
Last edited by a moderator:
Wakenya bwana!! Hao ndo wabongo! Hayumkini ni mchaga.
 
Ladies and gentlemen i great you all

I never knew if Tanzanian women are shameless to this extent,
Besides, she is the one who seduced me, kumbe ana mupango wa kunidhulumu pesa, aje aseme iliisha vile tulilala, mm sijawahi patia mwanamuke zaidi ya fifty thousand

I also have a family to take care of

Now let us see

Wapendwa Paulo Sergio De Souz, Kaboom na Evelyn Salt; hivi hiyo kwenye red ndo kurubuniwa?

Nisije nikatoa ushauri bila kujua maana halisi ya maneno.
 
Last edited by a moderator:
Mie niliambiwa huko Kenya ukienda chukua mwanamke bar
mkishakubaliana malipo....basi we unaendelea kunywa na kula
yeye anakusubiri tu ..akitaka kula na kunywa utaenda kumkata kwenye malipo....
yaani huko Kenya hakuna vya bure

Naamini kweli utamdai huyu hadi ajute....
 
Nami niungane na mtu aliyetangulia kusema achana na mpango huo. Kuingilia ndoa ya mtu ni dhambi kubwa, na nina imani malipo yako yanakuja. Unajifariji kwamba unaweza kumvunjia ndoa kwa laki sita. Lakini mimi nakwambia, on the contraly uhai wako unaweza kuwa mashakani. Kama hujui kifo kachungulie kaburi.
 
Better ukae kimya na yaishe. What you are planning to do will take you back to Kenya and destroy your marriage too.

This is Dar es Salaam. You had her, tell me more is she sweet? Did you use condom? The Devil told me to at inform you that, he is tired and sick of using his name when your dick is on.
 
Back
Top Bottom