Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huko nyuma tulikuwa hatuna migogoro yoyote mimi na my wife wangu to be.Na kusema ukweli kama ilivyo desturi yetu watu wa kabila langu mimi ndio nilikuwa nimeyashika mahusiano yetu,Mchumba wangu...
0 Reactions
87 Replies
11K Views
Habari wadau! Sasa nimeanza kuamini kuwa kuna furaha ya pekee iliyo ndani ya watoto! Ni hivi kuna siku nilienda mahali kwa ajiri ya kupata supu, bahati mbaya au nzuri meza ya jirani alikaa mdada...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari ba ndugu, Wanawake wengi hutukana waume zao/ wapenzi pale wanapo tofautiana tena hata mbele za watu au katika njia mbalimbali za mawasiliano na kusahau kama...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
1.Little girls still falls for looks and swag. 2.Basic bitches falls for money. 3.But a grown woman falls for stability and security.
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Natafuta mume mwenye VVU! Awe na umri kuanzia miaka 30-45,umri wangu ni miaka 28.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tafadhali raisi okoa mamilioni ya pesa zinazolipwa kununulia thamani za nyumbani kwa maafisa wa mashirika ya umma kwa kila mtendaji mkuu analipwa sio chini ya 18m,wakurugenzi wa idara 16
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni binti mzuri kwa muonekano na anaonekana mpole lakini kinachoniogopesha mara yetu ya kwanza kuonana ilikuwa kwa mganga wa kienyeji mpaka sasa hakuna aliyemuuliza mwenzake alienda pale kwa shida...
2 Reactions
164 Replies
18K Views
Wakuu hamjambo? Naomba niwasumbue kidogo, Mimi ni HR business partner, umri wangu nipo kwenye late 30's, sijaoa ila naishi na mwanamke ambae kwa sasa ni mjamzito, mipango ikienda vizuri na...
3 Reactions
96 Replies
9K Views
Teh teh teh....ona anavyojiliza....hahahahaaa. Ila kwa jinsi haya mambo yalivyo...usikute naye anayo michepuko yake lakini hajabambwa tu.
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Natafuta mke mwenye maumbukizi ya UKIMWI awe mtu mzima angalau awe na umri kuanzia miaka 40 na kuendelea mimi pia mtu mzima!mawasiliano ni sekenemboh@gmail.com au PM
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu kwenye hii dunia ya Mungu na sisi ndo wakaaji wake nimepata kujua kupitia kujifunza kwa ndugu zangu, dada zangu ambapo kila kukicha wao wanakuja na mambo mapya na pengine...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari zenu, Nimekua nikisikia kwa baadhi ya wasichana tofauti tofauti wakiongea kuhusiana na wanaume ambao wamekuwa waongeaji yani maneno mengi na wanaopenda kujisifia kuhusu kugegedana/kufanya...
0 Reactions
42 Replies
9K Views
mrembo,awe na elimu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau, Naomba ushauri. Nimegundua mwenendo wa mke wangu kuwa ni msiri mno juu ya mambo kadhaa na hata yale yanayotakiwa niyajue au niyatolee uamuzi, zaidi pia nimegundua ni muongo sana na...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Habari wanajf, Kwanini nowdays wanaume watu wazima ambao wengi wao wapo ndani ya ndoa wameshika kasi ya kutongoza mabinti wadogo ambao wengine ni sawa na watoto wao wa kuwazaa kabisa, kitu gani...
0 Reactions
81 Replies
10K Views
Habari wanajf, Mimi nina mamdogo wangu ambaye ni mdogo wake na mama hapa katikati walitengana na mumewe na mpaka sasa hawajarudiana. Baada ya kutengana na mumewe mamdogo na watoto wake watatu...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Habarini...hivi ni sahihi kwa wapenzi ambao uhusiano wao haujajulikana bado kwa pande zote mbili nikimaanisha kwa mwanamke hawamtambui mwanaume na kwa mwanaume hawamtambui mwanamke,je ni sahihi...
0 Reactions
75 Replies
7K Views
Kama huna moyo wa chuma, usioe ndoa inataka wanaume sio wavulana. Ndio mana ndoa nyingi siku hizi hazidumu pia biblia inasema enyi wanaume ishini na wake zake kwa akili otherwise ndoa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Salaam wana MMU, Uchumba mwingi na hata ndoa zinavunjika kila siku na sababu kubwa ikiwa ni madai ya watu kutokuendana kitabia. Basi wana MMU tutumie nafasi yetu kuorodhesha hizo tabia...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Vipi wadau? Siku nyingi ila si kwa ubaya. Kazi ndio zimekuwa kibao. Nina huyu workmate ambaye bado hajaoa, hivi juzi juzi alipata demu kitu kipya ambacho anataka kukioa. Tatizo ni kwamba...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Back
Top Bottom