Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
Habari WanaJF,
Wababa wa siku hizi mna matatizo gani?yaani mtu unafikia hatua ya kuwa na mahusiano ya kimapenz na bint yako
Hapa mtaan tukio hilo lmetokea mzee ambaye pia ni baloz wa nyumba kumi alikua anaish na bint yake alozaa na mwanamke mwingne ambaye waliachana na saivi huyo mbaba kaoa mke mwingine kwa hiyo akawa anaish na bint yake huyo na mkewe.
Tang mda kulikuw kuna tetes za chinchin kwamba hilo libaba lina mahusiano na bint yake, za mwiz arobain hatimaye mkewe kagundua mchezo kapeleka kes kwa mwenyekit ikabd bint aitwe na mzee na mkew na baadh ya wazee wakiwepo bint kuulizwa akadai baba ake alikua akitumia nguvu pia alikua akimtisha kuwa akisema kwa mtu atamfukuza nyumban kwake.
Bint kuulizwa ni mara ngap kamegwa na baba ake akadai n mara nyingi.
Baada ya kes kuisha na mambo kua hadharani kurudi home bint katoroka.
Hivi kwanini wababa mna matabia ya ajabu kias hiki kwanini hamjiheshimu?mayai yenu mnakula wenyewe!