Kesho mshahara, nimemuomba nimtoe out Serena Hotel, kakubali

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Tunafanya nae kazi, na ninamzimia kinyama sema huwa naona I'm out of her league. Wikendi iliyopita nilimpigia simu kuanza kujenga ukaribu, hakupokea! But kesho salio linaingia so nimemtumia ujumbe kuwa ninamualika dinner Serena hotel kesho jioni, kakubali!

Hofu yangu: nijipange na salio kiasi gani mfukoni pale Serena (kwa wenye uzoefu)? Ndoto zangu ni kumuoa, nitafanikiwa au ntaishia kuchunwa? Ni mdada wa khindi mrembo sana yaani so nataka nitunishe misuli, na the best approach until now ni mwaliko wa dinner. Ni sawa kumwambia ukweli wa moyo siku hiyohiyo?

Ingawa upande wa pili nahisi nafsi inanilalamikia kwa kiasi ninachotarajia kupoteza kesho ukiznigatia jana na leo sina hata nauli, nakuja kazini kwa mguu.
 
Kemchoo nelson. 200k barabara chee. Wengi hawapigi ulabu so budget si kubwa hivyo
 
Tunafanya nae kazi, na ninamzimia kinyama sema huwa naona I'm out of her league. Wikendi iliyopita nilimpigia simu kuanza kujenga ukaribu, hakupokea! But kesho salio linaingia...so nimemtumia ujumbe kuwa ninamualika dinner Serena hotel kesho jioni, kakubali!!

Hofu yangu: nijipange na salio kiasi gani mfukoni pale Serena (kwa wenye uzoefu)? ndoto zangu ni kumuoa, nitafanikiwa au ntaishia kuchunwa? Ni mdada wa khindi mreeeembo sana yaani so nataka nitunishe misuli, na the best approach until now ni mwaliko wa dinner. Ni sawa kumwambia ukweli wa moyo siku hiyohiyo??

Ingawa upande wa pili nahisi nafsi inanilalamikia kwa kiasi ninachotarajia kupoteza kesho...ukiznigatia jana na leo sina hata nauli, nakuja kazini kwa mguu.

mkuu kumbuka kuwa ukiiga kukata gogo kwa tembo
utachanika msamba, wewe hapo andaa mshahara wako wote
na kiasi kingine kinacholinga na mshahara wako kopa kwa
mama mwenye nyumba , kisha nenda kabala yake (tumia bajaji tu).
afu yeye atakukuta hapo hapo serena umetulia.

NB: Bana buku 10 kwenye tongo (ndani yapichu) ili sije pata fadhaha ya kurudi geto kwa mguu.
 
Da! Umekosea, ungetengeneza kabisa mazingira ya kumtafuta, mi sipelekagi mwanamke out halafu arudi bila kutafutwa.
 
Sasa mtu unataka kuoa mtoko wa kwanza tu hotel serena wakati hizo siyo level zako.

kwanini unafake maisha?

mpeleke sehemu ulizozoea kwendaaacha kujitafutia matatizo
 
Ungemwambia kesho kutwa kesho utaumbuka mkuu,kuna tetesi mishahara ya trh 25 rais ameizuia.

mkuu jamaa asije pata tumbo la kuhara muda huu kwani masaa yana
yoyoma kwa kasi ya kimbunga katrina.
 
mkuu jamaa asije pata tumbo la kuhara muda huu kwani masaa yana
yoyoma kwa kasi ya kimbunga katrina.

Mh hataki mchezo kagundua kuna trh zikitoka mishahara kunakuwa na shiida mijini hahaaha kama hii ya mtoa mada sasa ana izuia
 
Hahaha mtoa mada kumbe askari wa ultimate group imekula kwako... Ultmate wale wanasema mshahara kesho kumbe ndo baada ya week mbili
 
Dadeki kweli "mwanaume komaa, mwanamke ashibe" kila laheri na huyo Priyanka chopra


Hahaha hivi huyu so yule aliemnnunulia mtoto kile kidude cha kunyonya mtoto akataka akimeze??? Story zake huyu hahahha nwei umenchekesha na jibu lako ati priyanka Chopra hahgahahahhahha
 
Back
Top Bottom