Wataalam wanashauri: Tuwapige wake zetu angalau mara 1 kila mwezi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,484
20,436
Wataalam wa mahusiano wanashauri ili mahusiano yadumu vizuri na kwa muda mrefu inabidi mume amuonye mkewe kila siku, amkalipie kila wiki, ampige kofi angalau mara moja kila mwezi, ampige kibano cha maana kila mwaka na amrudishe kwao angalau mara moja kila baada ya miaka mitano. Kwa kufanya hivi uamsha ari na upya wa penzi.

Nchi kama Marekani ambao kufanya domestic violence ni kosa kubwa sana ni moja ya nchi zinazoongoza kwa talaka duniani maana wanawake wanaota mapembe na kuona wenzi wao hawawajali lakini sehemu kama mara ni vigumu sana ndoa kuvunjika.

Kazi kwenu waoaji na waolewaji kuokoa ndoa zenu
 
Mmmhh haya mapya sasa Kilaa uchwao mnakuja na tafiti mpya mpya unipige kisa nn? Eti unirudishe home Mara moja moja kwa mwezi ili iweje khaaaaa msipende kuconclude mambo sip wanawake wala wanaume wote Sana shida Ni baadhi tu ndio huharibu na kufanya tuonekane sio looh nipige kibano cha nguvu ndo utajua maharage n mboga au chakula cha wafungwa gerezani so kwa style hii kupigana kwa nini huko mtutue bure mwanamke hapigwi kwa fimbo wala mingumi anapigwa kwa ubale WA kanga
 
Hao wataalam wangewaambia hizo nguvu mkalimie matikiti... hao wake zenu ni watoto wadogo????

Anyway...mwanamke hapigwi ngumi anapigwa kwa Vanguard ukishindwa mpige kwa Fortuner... hali ikiruhusu mtandike kwa Vogue..

Nguvu peleka shambani
 
Sasa wengine msbaunsa na wannyanyua vyuma. Kupiga huko kukibatana na murder je?
 
Back
Top Bottom