B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,582
- 3,272
Hidya...hidya wangu,jamani nimepoteza mkanda wangu wa kiuno,nimepoteza mupenzi wangu....sijui kama kule arusha,sijui kama kule morogoro,sijui au jiji dar es salaam,sijui ni kule tanga,sijui au itakuwa musoma sijui,au kigoma sijui au pale marangu mtoni....atakae muona mwambie b;real now amekuwa paster arudi tu nime mkumbuka.washika dau