Uzee mwisho Chalinze mjini kila mtu...

Uzee mwisho Chalinze mjini kila mtu...

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
760
Dah,mie nilidhani masihara leo nimeshuhudia mtoto wa kike mwenye miaka 16 akinyonyana mate na babu wa miaka kati ya 50-56 hivi...aisee naomba tushirikiane kulitokomeza hili please!
 
Tulitokomeze kwa mbinu ipi mkuu?
 
Acha wanyonyane tu kwanini ni njia moja wapo ya kumpigisha mzee mswaki
 
Dah,mie nilidhani masihara leo nimeshuhudia mtoto wa kike mwenye miaka 16 akinyonyana mate na babu wa miaka kati ya 50-56 hivi...aisee naomba tushirikiane kulitokomeza hili please!
Tamaa zao zakutaka mambo makubwa,50-56 sio Babu wacha kumpa mwenzio uzee ....
 
twende tukawazibe midomo wasidendeke tena "jinga kabisa mxiiiuu"
 
ha ha ha ha kama cjaelewa picha please Tyta uko wapi watu hapa hatuelewani
 
Last edited by a moderator:
KAZI IPO FOR THIS GENERATION
971679_412024638907856_629249216_a.jpg
1452150_469814339795552_169752100_n.jpg

CC:ICHANA
 
Thanx Tyta ntarudi baadae kuchangia natafakar
 
Last edited by a moderator:
Dah,mie nilidhani masihara leo nimeshuhudia mtoto wa kike akinyonyana .....aisee naomba tushirikiane kulitokomeza hili please!

Kama Nyerere alishindwa kutokomeza unyonyaji sidhani kama kuna mtu ataweza.
 
Back
Top Bottom