Umeolewa na unaitaka ndoa yako?

Umeolewa na unaitaka ndoa yako?

Yes Yes Yo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
232
Reaction score
99
HAKUNA MJADALA, "MME NI KICHWA KWAKO"

"Mme Ni Kichwa Cha Mkewe... Hata Kama Kichwa Hakina Akili Bado Ni Kichwa, Na Unavyojaribu Kupangua NAFASI YAKE Unadhihirisha Usivyo Na Akili Zaidi Kwa Kukubali Kuolewa Na Mjinga... Umeshaolewa, Umegundua Ni Mjinga, Ishi Naye Kwa Akili Na Msaidie Kujua Nafasi Yake Na Muache Akae Kwenye Nafasi Yake"
 

Lazima Ujue Kwamba MMEO NI KIONGOZI WAKO, Haijalishi Uko SMART KIASI GANI, Mme Anabaki Kuwa Mme... Hata Ukiwa Rais Wa Nchi, Ukirudi Nyumbani UNAKUWA MKE WA MTU; Hapo Elimu, Nafasi, Cheo, Umaarufu Havifanyi Kazi.
Ukijikanyaga tu; BOMU LINALIPUKA... "Huwezi Kuwa Na Hekima Kuliko Mungu Aliyeanzisha Ndoa"
 
Nahisi kuna mtu ulikuwa unampa ujumbe, atakuwa amekusikia.
 
Lazima Ujue Kwamba MMEO NI KIONGOZI WAKO, Haijalishi Uko SMART KIASI GANI, Mme Anabaki Kuwa Mme... Hata Ukiwa Rais Wa Nchi, Ukirudi Nyumbani UNAKUWA MKE WA MTU; Hapo Elimu, Nafasi, Cheo, Umaarufu Havifanyi Kazi.
Ukijikanyaga tu; BOMU LINALIPUKA... "Huwezi Kuwa Na Hekima Kuliko Mungu Aliyeanzisha Ndoa"

Well well said, u said it vividly.... barikiwa.
 
Lazima Ujue Kwamba MMEO NI KIONGOZI WAKO, Haijalishi Uko SMART KIASI GANI, Mme Anabaki Kuwa Mme... Hata Ukiwa Rais Wa Nchi, Ukirudi Nyumbani UNAKUWA MKE WA MTU; Hapo Elimu, Nafasi, Cheo, Umaarufu Havifanyi Kazi.
Ukijikanyaga tu; BOMU LINALIPUKA... "Huwezi Kuwa Na Hekima Kuliko Mungu Aliyeanzisha Ndoa"

Umeonaaaaa? Yaani mnavyojibizana hadi raha
 
Leo akina dada mtakoma...
ila myafanyie kazi mnayoambiwa. Na mr Yes Yes Yo
 
Last edited by a moderator:
Hv, vile vituo vya ANGAZA bado vipo? Sector ya ushauri nasaha ingekufaa...
 
HAKUNA MJADALA, "MME NI KICHWA KWAKO"

"Mme Ni Kichwa Cha Mkewe... Hata Kama Kichwa Hakina Akili Bado Ni Kichwa, Na Unavyojaribu Kupangua NAFASI YAKE Unadhihirisha Usivyo Na Akili Zaidi Kwa Kukubali Kuolewa Na Mjinga... Umeshaolewa, Umegundua Ni Mjinga, Ishi Naye Kwa Akili Na Msaidie Kujua Nafasi Yake Na Muache Akae Kwenye Nafasi Yake"

Hehehe Heaven on Earth uko wapi? Njoo haraka uingilie kati mjadala huu naona karibu wanaume wanajipatia ushindi ktk mjadala huu.
 
Tumia.

Koflyn-Syrup-300x300.jpg

Koh koh koh....
 
Back
Top Bottom