Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
Hello jf naomba kujuzwa kwa mwanaume wa kawaida asiye na tatizo lolote la afya akishafanya ngono na aka ejaculate bao la kwanza je inakuaje kwa bao la pili nilazima apumzike kwa muda? Au anaendelea? Pili ukisha ejaculate uume huuendelea kusimama au unarudi katika hali yake ya mwanzo kabla ya tendo?
Ufafanuzi tafadhari
Ufafanuzi tafadhari