julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Wapo watu walikimbia kwa mbwembwe lakini walirejea mikono nyuma, kuna watu walihamia kwa mkopo huku lakini waliamua kuomba usajiri wa kudumu, wapo waliodhani watakuwa maarufu walipokosa umaarufu walikimbia jukwaa ila huko kuliwashinda wakarudi na new id! kuna wale wenye uwezo wa kupita kila jukwaa ila mmu walipita zaidi, kusema ukweli mmu ni kiboko ya majukwaa yote maana ndio jukwaa lisilo bore mtu!
Mazuri ni mengi jamani huku ndio watu wanaishi kama ndugu, wanaelimishwa, wanashauriwa, wanaburudishwa n.k! ehm mwagikeni jamani juu ya mmu!
Mazuri ni mengi jamani huku ndio watu wanaishi kama ndugu, wanaelimishwa, wanashauriwa, wanaburudishwa n.k! ehm mwagikeni jamani juu ya mmu!