Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,450
- 10,807
Mapenzi huwa hayachagui, moyo unapopenda huweza kupata upofu!
Kuna rafiki yangu alimpenda saaana bidada mmoja mrembo lakini kwao kulikuwa kunaogopeka kwa uchawi! Hakika kijana alikuwa kama karogwa hasa maana moyo ulimdondokea dada huyo haswa! Rafiki yangu huyo alikuwa anasomea shule ya upadri lakini alijikuta akinambia akimaliza shule hiyo anamuoa! Siku moja alikuja kwangu kuniomba ushauri namna ya kumuacha baada ya kupata uhakika kuwa mrembo anatoka familia ya kichawi.
Mwana MMU, wewe ungeshaurije hapo?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums