Mambo 5 ya kumfanyia mpenzi wako:

Mambo 5 ya kumfanyia mpenzi wako:

comfix

Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
59
Reaction score
11
Yafuatayo ni mambo matano muhimu ya kumfanyia mpenzi wako ili akupende kwa dhati, hebu jaribu kisha utanipa mrejesho:
1. Mpe hela
2. Mpe hela
3. We mpe hela
4. Nakwambia mpe hela
5. We mpe hela tu utaona.
 
Yaani mpe hela
mpe mihela
mpe mijihela
mpe mahela
mpe tuuuuuuuuu hakuachi ng'o hata kama hakupendi atakuwa nawewe kwaajili ya hela zako tu.
 
sio kila mahali hela inahitajika

vipi kwa wasokua nazo? hawana haki ya kupenda/ kupendwa?
 
haya maajabu hadi hisia nazo zinanunuliwa siku hizi.
 
mpige..

yani mpige tu..

mpe vipondo!

mponde tu..

mponde bila kuuliza!

(sorry, those are expired words!)
 
haya maajabu hadi hisia nazo zinanunuliwa siku hizi.

Waswahili kwa ubishi mmeshindikana, km wewe ndo kabisaa unaonyesha unatumikia kikosi cha mizinga halafu unajishaua km haufanyi vile!
 
Pesa kitu gani jamani??? Hapo ni point moja tu ya hela umeongea.fuata ushaur wa mimi49

Fikir umpe hela while hujui kugegeda atakupenda???
Mpe hela while unampiga, humweshimu, humjali atAkupenda??
Mpe hela while wewe hujui jukumu lako as men ur responsibility , decision making etc Uone kama atakupenda??

Material woman hahitaj pesa yako yakumhonga may be kawape pesa zako michepuko yako
 
Last edited by a moderator:
Yaani mpe hela
mpe mihela
mpe mijihela
mpe mahela
mpe tuuuuuuuuu hakuachi ng'o hata kama hakupendi atakuwa nawewe kwaajili ya hela zako tu.

Na wengine wakinywa maziwa yaliyotengenezwa na hela zako!
 
Mpende sana pesa sio kila kitu..angalia wezako hamna cha pesa wala nini?love tuu ya kutoka kwa moyo
 
  1. mpende
  2. mthamini
  3. mjali
  4. muheshimu
  5. muamini

Mimi49 nayajua yote haya nilikuwa namsaidia mtoa mada kutoa msisitizo wa kutoa hela. Mimi siwezi kuwa na mtu hata kama ana hela na benki anamiliki. Kama sijampenda siwezi ishi naye sababu ya hela zake tu. Niridhike naye na mapenzi ya dhati.
 
Pesa kitu gani jamani??? Hapo ni point moja tu ya hela umeongea.fuata ushaur wa mimi49

Fikir umpe hela while hujui kugegeda atakupenda???
Mpe hela while unampiga, humweshimu, humjali atAkupenda??
Mpe hela while wewe hujui jukumu lako as men ur responsibility , decision making etc Uone kama atakupenda??

Material woman hahitaj pesa yako yakumhonga may be kawape pesa zako michepuko yako
Acha kujifariji ndugu, pesa ndo kila kitu wewee.
"maskini jeuri' ni msemo tu usiuweke akilini.
 
Yafuatayo ni mambo matano muhimu ya kumfanyia mpenzi wako ili akupende kwa dhati, hebu jaribu kisha utanipa mrejesho:
1. Mpe hela
2. Mpe hela
3. We mpe hela
4. Nakwambia mpe hela
5. We mpe hela tu utaona.

Kabla pesa haijagunduliwa watu walishajua kupendana tayari. Tunavyoongea sasa..kuna watu hawana kitu na wanaishi kwenye lindi zito la ufukara mpaka mlo na pa kujikinga na mvua tu ni shida lakini full ma love..So ur wrong.
 
Acha kujifariji ndugu, pesa ndo kila kitu wewee.
"maskini jeuri' ni msemo tu usiuweke akilini.

Ukwel ndo huo most of girls kama hatujakupenda , hunijali, huniheshimu, huna decision making in life, 6*6 , hunifikish Mount Kilimanjaro heeeee uuuups hela yako italika sana na siku ya mwisho unapigwa chini
 
Mnaongea kama vile pesa na mapenzi ni vitu vipya na ndio habari mpya ya mujini..kumbe nyie ndio wapya kwenye issue..
 
Back
Top Bottom