Asante mkuu. Usiwaone barabarani wamepaka wanja na lipstik wengine huko nyumbani full majanga uchafu, uchafu......
- Hizo ni hila za mtu mvivu:anapenda kuchelewa kulala,matokeo yake anachelewa kuamka
- Vyombo siku tatu havioshwi huo ni uchafu ulokithiri-hampiki au mna makabati kadhaa ya vyombo?na asipoviosha unachukua hatua gani?unaviosha wewe ama?Ingelikuwa ni mimi ningerudisha hivo vyombo vyote kabatini akija kutaka kutumia anakutana na vichafu kwahio lazima aosheee...
- Mrudishe kwao akafundwe huyo mkeo au msemee kwa watu wazima mfano mamaake/shangazi wamseme...hajui kama nyumbani ni sehemu ya mwanamke na ni fremu yake!Ni kama mwanamke ajirembe amependezaaa lakini nyumba chafu,hatoonekana hata huo urembo wake!!
Fimbo ilishakatazwa hata mashuleni mkuu. Labda ungeniambia nimpige na mfuko wa rambo.Acha kumpigia kelele mpigie fimbo atakuelewa tu...!
Muda mrefu.^^ Ni tabia ya karibuni au ya muda mrefu? ^^
Muda mrefu.
Inaonekana hata wewe ni pasuandonga kama yeye.Kama humsingizii huyo ni mchafu na mvivu! lakini t.a.k.o si analo? vumilia kaka, uwe unaosha mwenyewe!
Huyu mwanamke anaangalia TV mpaka saa 9 usiku. Anaamka saa 3 asubuhi. Anaondoka bila kuosha vyombo vilivyotumika kulia chakula jana usiku. Vinakaa hadi siku 3. Nilishapiga kelele sana lakini bado. Ushauri please.
Fimbo ilishakatazwa hata mashuleni mkuu. Labda ungeniambia nimpige na mfuko wa rambo.
Huyu mwanamke anaangalia TV mpaka saa 9 usiku. Anaamka saa 3 asubuhi. Anaondoka bila kuosha vyombo vilivyotumika kulia chakula jana usiku. Vinakaa hadi siku 3. Nilishapiga kelele sana lakini bado. Ushauri please.
Acha kulea ugonjwa piga huyo atakuelewa..
Hapana kupiga, mwanamke akikukosea tupia kanga, kitenge au wax atakuelewa!
Swali: Yeye amempa zawadi ngapi ili kumrekebisha kiupendo alipokosea? Au ndiyo mnadhani kila kitu kinatatuliwa kwa mabavu??
Duuuh kweli amekuchoka!ni mkeo au ni nani kwanza?
Unamaanisha nini mkuu?endelea kulilea ndugu yangu tena una moyo kuna wanawake mapambo kama huyu