Kwanini wanamme wa Tanzania wanawaona wivu wanawake? Wakiona mwanamke mzuri na anampendamwanamke but anajua awezi kumpata anaishia kumchukia bila sababu na kumzulia maneno ya uongo anatangaza kwa...
Katika mahusiano niliyopita mawili nimegundua kuwa katika mahusiano ya uchumba ukimpenda mtu sana na akajua atakutesa sana.
Naandika haya kama mwanaume ambaye nilimpenda sana ambae nilikua naye...
Jana nilikuwa Dodoma ilipofika majira ya saa 4 usiku mimi na rafiki yangu tuliamua kupita mitaa ya uhindini , kwa wasioijua Dodoma mitaa hiyo ni maarufu kwa wadada kujiuza hasa wanafunzi wa vyuo...
unalikuta lidada ni kula kulala nyumbani au kamaliza chuo hana kitu, anaanza mm wa kunioa awe na kazi, gari, nyumba, jiulize ww unavyo hvyo?
Ndio mana ma brazamen yanaazima magari yanawatanua...
Here?s what she?s been too shy to tell you. You may be pleasantly surprised at what she wants to try
Most of us feel more awkward talking about-sex-than we do actually having it. In fact, many...
Poleni na maangaiko ya kumaliza mwaka 2016.
Kuna mdada ambaye kwa muda wa mwezi mmoja nimetokea kumpenda sana na nikamwambia na ni baada ya kukaa miaka miwili bila mausiano na mdada kutokana na...
Zipo kazi ambazo ni mara chache sana utakutana na warembo mabinti waliojikuta wamezaliwa wazur ni pamoja na walimu,washonaji wa nguo, madaktar
Ila ukifanya uchunguzi Yapo maeneo na kazi ambayo...
Nimekua nikipata wasichana walaghai mara zote,hali ambayo ilinifanya kuwachukia wote. Ila sas nataka msichana ambae anadhamira kama yangu aache namba yake ya simu nami yakutafuteni,sichagui...
Nimejitahidi kuishi kulingana na wakati na kuishi kwa umri wangu ila kuna vitu vimenishinda, sijui wengine wameviwezaje au wamevipendea nini.
1. Movies, nimejitahidi kuangalia muvi au filamu...
Wana Jf.
heri ya xmass...
Naomba kujua yule mke wa Mkuu wa upelelezi TANAPA ni wa wapi?
Tangu tukio lile na tangu RPC wa Arusha azungumzie tukio lile kwa kumhusisha yule mke wa...
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!
Peopleeeeeess Niaje (Kwa Masela) Habari za jioni (Civilized), Tumsifu yesu kristu (Roman), Bwana Asifiwe(Protetistants), Assalam Alaikum...
Kama tujuavyo wazungu ndio super race and blessed taught in universities but Hawana majivuno wala ubaguzi ktk suala la kuolewa maana mpaka wamasai wameoa wazungu.
Mimi mwenyewe nimeshuhudia...
Kweli watu weusi yamkini hawathamini vya kwao!
Tazama haya na kujiuliza kama ingekuwa ni wazungu ndio wana tabia kama hizi za waafrika, ingekuwaje kwenye ulimwengu wa mapenzi? bila shaka wangekuwa...
Habari zenu wanaJF!
Natafuta ndugu zangu upande wa mama yangu: Jina lake ni Pendo/Khadija Rubeni mzaliwa wa Tabora (Igunga?) kwenye ukoo wa mzee Rubeni. Baadae alihamia Mwanza na kunizaa mimi...