my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,390
Kwanini wanamme wa Tanzania wanawaona wivu wanawake? Wakiona mwanamke mzuri na anampendamwanamke but anajua awezi kumpata anaishia kumchukia bila sababu na kumzulia maneno ya uongo anatangaza kwa watu mwanamke malaya changudoa huku anaumia moyoni amemkosa, haishi kuangalia last seen ya whatsapp au profile ya facebook kila siku.
Kwenye simu yake amedownload pcha za mwanamke anaemwita malaya kwa wivu wake.Aibu mwaname kumuonea wivu mwanamke asiekuusu hata kama amekupata vipi.
Wanaume wa Tanzania fanyeni kazi acheni kushindana na wanawake na kuwaonea wivu mtakufa masikini.
Mwanamke na mwanamke usishindane nae utalala porini uliwe na sImba ndugu zako wakazika mifupa.

Last edited by a moderator: