Naruhusiwa kuanzisha grup la wasapu kutokea hapa

painedman

Member
Oct 18, 2012
21
3
Samahani wanajamvi wenzangu pengine kutojua vzur rules zinazotuongoza humu ndani... naomba niulize je ninaruhusiwa kuanzisha whatsapp grup kuanzia hapa?
 
Shida yako ni pa kuanzia au kufungua group? Fafanua kidogo
 
Dah kuchart? Nisivyopenda kuchart wasap nashangaa napata marafiki wapenda kuchart na si watoto ni watu na heshima za ila kuchaaaaat. Mungu nisaidie tuendane maana bado nawahitaji marafiki zangu
 
Ukianzisha niadd!
Ila liwe la heshima kwa ke na me mambo ya kutusi wanawake hatutaki
 
Dah kuchart? Nisivyopenda kuchart wasap nashangaa napata marafiki wapenda kuchart na si watoto ni watu na heshima za ila kuchaaaaat. Mungu nisaidie tuendane maana bado nawahitaji marafiki zangu

utakua mvivu kutype kama mimi
 
Grup litahusu mahusiano,mapenzi na urafiki kama tufanyavo humu ndani..but mashart na vigezo vitazingatiwa
 
Back
Top Bottom