Parata
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 3,090
- 692
Katika mahusiano niliyopita mawili nimegundua kuwa katika mahusiano ya uchumba ukimpenda mtu sana na akajua atakutesa sana.
Naandika haya kama mwanaume ambaye nilimpenda sana ambae nilikua naye ila matokeo yake upendo wangu akauchezea, usipende kupita kiasi utaumia sana moyo wako bure.