Anatafuta mtoto wa kiume lakini mwisho wa siku disapontment wana biologia mshaurini

Th3the

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
1,233
1,654
Jamaa anawatoto wa kike kumi anatafuta wa kiume angalau mmoja wanabiologia tumpeni ushauri... Mimi nimemshauri aende fore plan clinic
 
Anatafuta wa kiume ili amfanyie nini? Hao wa kike ndo Mungu kamuamulia ashukuru kwa hilo

Mkuu
Naunga Mkono Hoja!
Hivi Hao Watoto Uliopewa Bado Huna Shukrani Kwa Mungu. Fikiria Ambao Hawana Na Wamehangaika Kote?

Nadhani Mleta Mada Awe Na Kiasi Halafu Unakuta Watoto Hakai Nao
 
Uwe mpole kwa muda wa miezi mitatu na penda kula mboga mboga za majano na matunda hapo ndo utafanikiwa. Tuliza akili na mawazo hayo! Penda sana familia yako na utafanikiwa
 
Jamaa anawatoto wa kike kumi anatafuta wa kiume angalau mmoja wanabiologia tumpeni ushauri... Mimi nimemshauri aende fore plan clinic

Mwambie achunguze siku za mwanamke aanze kuhesabu kuanzia siku aliyoingia mpaka siku ya 12 kama yuko serious.
 
Hi simple ila umwombe Mungu kwanza. pia mshukuru kwa hao aliokupa. Km unataka male au female unatumia kalenda ya kichina , umri wa mama na mwezi wa kushika mimba, ufaulu niasilimia 98% . Wengi wamefanikiwa.
 
My sister amehangaika sana baada ya kuzaa wakie 3 mme kavimba.mpaka akaanza umalaya nje ya ndoa Kwa bahati mzuri sister akapewa dawa na mama yetu mkubwa na hatukujua kuwa anatoa dawa izo. unakunywa ukiwa na mimba ya mwezi 1 tu yaan usipoona period. Ilikuwa mwezi wa 3 akajifungua mtoto wa kiume trh 2/12 mpaka mda huu ni sherehe tupu mpaka yesu anazaliwa juzi ng'ombe watatu walishaaga dunia loh.
 
Fanya mapenzi siku ya 15 baada ya mkeo kubleed.usifanye mapenz kwa siku nne before hyo ya kumi na tano.
Watoto wa kiume ni muhimili wa ukoo.
Mwanamke akishaolewa na jina lako anabadilisha.
Ratio ya boy to girl ni vema ikawa 3:1.
Hauna mtoto bado hapo.
 
hiyo dawa nitaipataje mkuu
 
Fanya mapenzi siku ya 15 baada ya mkeo kubleed.usifanye mapenz kwa siku nne before hyo ya kumi na tano.
Watoto wa kiume ni muhimili wa ukoo.
Mwanamke akishaolewa na jina lako anabadilisha.
Ratio ya boy to girl ni vema ikawa 3:1.
Hauna mtoto bado hapo.

shukran sana
 
Jamaa anawatoto wa kike kumi anatafuta wa kiume angalau mmoja wanabiologia tumpeni ushauri... Mimi nimemshauri aende fore plan clinic

ebu anicheki niimpe notes za kupata mtoto wa kiume 0712505049
 
Back
Top Bottom