26+ we bado homeboy/ homegirl?? aibu zako!!

dada yako yote umemaliza mpaka uongee ya watu, mi nafikiri ungemaliza yako kwanza
 
  • Thanks
Reactions: Art
Teh teh..Kutoka kitambi ukiwa bado uko home is not rait kwa kweli
 
poleni na pesa mlokula sikukuu vyema mlokuwa mmefulia ndo maisha kesho mtapata.

nasema na hawa wanaume au wanawake unakuta ni mtu mzima kabisa kanyoa ndevu hadi kidevu kimekuwa sugu karibia mvi( wengine ana kitambi kabisaa) au mwanamke usichana umemgomea hadi usoni anaonekana sio mmama sio mdada,

kwakuwa home wazazi wanajituma asubuhi chai na vitafunwa/ uji wa lishe haukosekani, mchana wali, ugali, ndizi au chochote na mboga 2-3 plus juice/ matunda vipi baaaasiii kang'ang'ana hapo kama ruba unanenepeana tuuu huoni aibu hata ukitoka barabarani. hujuagi bei ya luku, fridge, carpet, shuka wala kitanda na net ikitoboka wajikauaha inunuliwe:D:D:what::what:

Kujifanya wewe classic hata ukitembelea washikaji waishie uswahilini, vyumba ambavyo havina umeme , wanalala chini unawa nyali eti wana maisha ya chini weweweeee, ukipewa ugali dagaaa wa mchanga, mchicha usokuwa na mafuta eti nawewe wajifanya hulii loooh, king'amuzi kikikata buku 10?? unasubiri uwekewe jamannn.

mkute sasa anavyochagua wanaume/ wanawake wakuwa na mahusiano ooohhh huyu ana maisha duni, anasuka nywele za 2000/ geto kwake hamna hata kitanda aibu zako. Muone akipata vijihela kidogo huo msimu ataonunua akiweka mfukoni kapinda upande kama mlemavu jamaaan hajiulizi hyo laki 3,4,5 nifungue hata genge/ uza korosho, miwa hapana unataka kuonekana mtanashati sopsop mda wote kwa hisani ya wazazi tu hadi linii??

Hao wazazi ndugu unaowaganda na wao walianza maisha magumu wakapauka , wakapanga chumba kimoja wana lala chini hadi wakafika hapo. hebu acha ujinga anza kujipanga jitume usichague kazi ili mradi iwe halali upate chochote jitegemee ,

mwishowe utakuwa na akili tegemezi huwezi hata kudumu na wapenzi maana kulelewa hadi uzeeni kila kitu unahisi umeonewa, hujifunzi kusuhuhisha matatizo kufikiri kwa kina ukachambua mambo , helloooo


nasema naweeeee

Vipi unao hapo nyumbani nini?
 
Mwanamke atoke kwao aende kwa nani? ama unafikiri ujinga wa gheto ndo sifa? wewe kama kwenu kumepinda isiwe sababu ya kuwaona wasichana wenzio vipi ila kama ni wa kiume akifikisha 30 mtimueni home.
 
Wote mnaoponda hii post lazima inawahusu. 26+ bado unaomba hela ya pedi au hela ya soksi. Jitathimini sana. Halafu utakuta na yy analalamika ajira hamna ..
 
Back
Top Bottom