Kazi/vitengo/kada ambazo ni aghalabu sana kukuta Wadada wazuri wazuri

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,316
50,522
Zipo kazi ambazo ni mara chache sana utakutana na warembo mabinti waliojikuta wamezaliwa wazur ni pamoja na walimu,washonaji wa nguo, madaktar
Ila ukifanya uchunguzi Yapo maeneo na kazi ambayo imetokea ni kama bahat kwani kuna Wadada wakali(naaminasha wenye urembo wa asili) tuache utani hawa utawakuta maktaba, bank, na wanaofanya biashara kwenye minada kuuza nguo,tembelea pia idara ya uhamiaj popote pale utakutana na wanawake wazuri, idara nyingine ni kwenye ofisi za mamlaka ya maji aiseee labda kama maeneo mengine sijafanya ziara
Mitazamo huu unategemeana
 
mambo ya kitoto kufanya mtu mzima ni ......................

Huruhusiwi kumpangia cha kuwaza homosapiens mwenzako tena above 18 kubwa zaid asiye na stress
Ww endelea kuwaza ugumu wa maisha na kuwaza vitu vya msingi
 
Zipo kazi ambazo ni mara chache sana utakutana na warembo mabinti waliojikuta wamezaliwa wazur ni pamoja na walimu,washonaji wa nguo, madaktar
Ila ukifanya uchunguzi Yapo maeneo na kazi ambayo imetokea ni kama bahat kwani kuna Wadada wakali(naaminasha wenye urembo wa asili) tuache utani hawa utawakuta maktaba, bank, na wanaofanya biashara kwenye minada kuuza nguo,tembelea pia idara ya uhamiaj popote pale utakutana na wanawake wazuri, idara nyingine ni kwenye ofisi za mamlaka ya maji aiseee labda kama maeneo mengine sijafanya ziara
Mitazamo huu unategemeana

Kiukweli mother alikuwa teacher ila kasha retire

basi sawa.
 
Umenichekesha sana..

Kwenye kichwa cha habari cha mada yako ondoa neno"aghalabu" na badala yake weka"nadra"

Aghalab maana yake Mara nyingi ,Mara zote, kwa kawaida nk (usually, often, normally)

Lakini nadra maana yake ni Mara chache(seldom, rarely)
 
Asante sana mzee wangu kitu cha msingi sana umenigusia ambacho nilikuwa sijui nilishazoea toka primary school huko
 
Back
Top Bottom