Poleni na maangaiko ya kumaliza mwaka 2016.
Kuna mdada ambaye kwa muda wa mwezi mmoja nimetokea kumpenda sana na nikamwambia na ni baada ya kukaa miaka miwili bila mausiano na mdada kutokana na kuboreka na uongo ya wasichana.
Juzi kati kama wiki mbili aliridhia ombi langu la muda baada yeye kutafakari, sasa masharti yakaja kua ya ndoa (uchumba then ndoa), kwa kua mie nimependa kwake nilifarijika sana na nikawa na furaha sana kila tukitoka kazini jioni lazima tukutane kwa stori mbili tatu kabla ya kuachana kwenda kupumzika, limedumu kwa siku kama tatu.
kazini kwangu nakua bize sana hata muda wa kutuma sms au kupiga simu siyo rahisi likewise nae anasema hivyo kwa upande wake.
Kuanzia tarehe 20 desemba simu yangu ikawa haipokelewi wala sms hajibu haijalishi muda wa kazi au nyumabani, akipokea usiku anasema alikua bize, mara amesafiri kikazi atarudi 23/24 hapa jijini Daslam ila anasema 25/12/2015 tutakua wote..ok kwa vile mie nilipata 100% kwenye uvumilivu kule JKT Mugambo niliona niyakubali na kueshimu maamuzi yake.
Ikafika 25/12 sijapata taarifa yoyote toka kwake,nikipiga simu haipokelewi nikituma sms inakuwa delivered but no feedback, nikapiga kimya...baadae saa tisa ananiambia alikua bize kidogo ila niondoe hofu tutakua pamoja, ilipofika saa mbili usiku akanipigia simu akiniuliza uko wapi? nikamwambia kwani nilikua mahali napumzika kidogo anasema nakuja nisubiri hapo.
kufika saa nne usiku ajafika kupiga simu yake ananiambia anakuja baadae kidogo simu yake haipatikani tena...mpaka leo sijapata kumtumia sms wala kupiga wala yeye hajapiga simu.
Ninachojiuliza huyu Dada alikua na nia gani kunipigia simu yeye mwenyewe na kukubali ombi langu then anakua na hayo tena?
Naomba mawazo yenu.