Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,534
Wana Jf.
heri ya xmass...
Naomba kujua yule mke wa Mkuu wa upelelezi TANAPA ni wa wapi?
Tangu tukio lile na tangu RPC wa Arusha azungumzie tukio lile kwa kumhusisha yule mke wa marehemu na ukizingatia ushahidi wa mazingira uliopatikana ikiwemo taulo yenye damu, panga likiwa na damu, na nguo mbalimbali walizokuwa wanafutia damu sebuleni na kuzifukia chini ya ardhi na ukizingatia yule house boy alikiri kuhusika kumuua marehemu kwa dau la sh. milioni 5 nimepata shauku ya kujua yule mama ni MTU wa wapi? hadi kupata huo ujasiri wa kumuua mume wake?
Na kibaya zaidi eti akawahi kituo cha. polisi kutoa taarifa za kupotea mume wake na kwamba hajui alipo...! kumbe kashiriki kumuua mume wake na kumwingiza kwenye buti ya gari la marehemu na kwenda kumtelekeza porini...!!
House boy anasema alimchinja bosi wake wakati akiwa sebuleni akinywa uji ndipo alipomcharanga kwa mapanga hadi kufa, sasa huyu mama wakati huo alikuwa hayupo eneo hilo au alijificha hadi tukio lilipomalizika? maana tunaambiwa wanawake wana huruma sana sasa huyo mama hakuona huruma kushuhudia au kushiriki kumuua mumewe? ikizingatiwa kwamba mumewe kumbe alikuwa mgonjwa na alikuwa anajiandaa kwenda INDIA kwa matibabu?
Tuweni na huruma jamani, enyi wanawake na hata wanaume wenzangu.