ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,697
Jana nilikuwa Dodoma ilipofika majira ya saa 4 usiku mimi na rafiki yangu tuliamua kupita mitaa ya uhindini , kwa wasioijua Dodoma mitaa hiyo ni maarufu kwa wadada kujiuza hasa wanafunzi wa vyuo pindi boom linapochelewa kutolewa na serikali.
Katika pitapita yetu tulikutana na wadada poa hao wakatuvamia na katika chagua chagua ikatokea sauti kwa mdada mmoja akimwambia mteja wake kwamba sikutaki wewe mnene nyie wanene mnachelewa kukojoa sana.
Kauli hiyo ilinishangaza sana , nikaamua niilete hapa jamvini ili tubadilishene mawazo.