Barua kwako dada mpendwa

EMKM

Member
Jul 6, 2015
80
8
NAANDIKA HUU UZI NIKIWA KAMILI KITHAIKOLOJIANilikaa nikajiuliza iweje niteseke kiasi hiki? nilifikia hatua ya kumlaumu MunguEmmanuel Michaelkmkumbe sikujua kuwa God angenipatia mtu kama wewe nimeamini kuwa MAPENZI YANAUMIZA NA NDIYO MAANA WATU WANAJIUWAKwahiyo ukiona mtu kajiuwa kisa mapenzi juwa kwamba alikuwa na mapenzi ya dhatiKwakuwa wewe umekuwa chaguo la moyo wangu nakuomba usije nitema kwa sababu nakupenda sana mwingine hapatikani atakayeweza kukutoa moyoni mwanguNajua mapenzi ya siku hzi wengi walaghai lakni kwangu yapo ya kweli mapenziBOFYA HAPA[url/]
kama ulivyo niahidi kuto niacha timiza BABY

jamani kusema ukweli 93% yawatz hawana true love au vp?
 
Mbona hujaandika jina la huyo mpnz wako mkuu..Atajuaje kama ni yeye
 
Looo!!! Kujiua kumerahisishwa.
Shetani ana kazi tatu 1. KUUA 2. KUIBA 3.KUHARIBU.
Ukiona moyo wako unakutuma kufanya mojawapo ya hayo, ujue umeingiliwa tayari.
(Fikra za kujiua, kuua, kuharibia wengine au binafsi, n.k)
 
nikuombe kitu we jiuwe achana na haya mambo hayana maana yoyote
 
Mbona hujaandika jina la huyo mpnz wako mkuu..Atajuaje kama ni yeye
huyo
images.jpeg
 
Unajiua unaacha msichana anapata mwingine unakua umepata faida gani?? Had unawaza kuua ndo umeona the best solution sio ukijua kupendwa na kukataliwa ujue vilevile
 
Back
Top Bottom