Kama hajui ladha ya alcohol na hayupo tayari kujaribu huyo ndio mwanamke unayemuhitaji kwenye maisha yako brother keep that woman.
Anapenda fashion but sio mtumwa wa fashion akipitwa na style...
Dah leo nimegundua kukataliwa inauma sana😐, iwe hadharani au hata huko pm😪.
Nikaona sio vibaya tukija na operation ponya Moyo, we tema cheche ili utoe sumu.
Wakuu aisee hawa wanawake wa siku hizi hata aibu hawaoni? Yaani mwanamke from nowhere anaanza kuniomba sex kabisa yaani nimeshangazwa sana aisee yaani bila aibu wala soni mwanamke ananiomba ngono...
Niaje wakuu?
Leo sasa hivi hapa ninapoandika kisa hiki nakiandikia TEMEKE HOSPITAL kuna mshkaji mpangaji mwenzangu kaliwa ndogo, yani masela wakukodiwa wamemvisha shanga wakammwagia mafuta ya...
ONGEZEKO LA SINGLE MOTHERS NI MATOKEO YA WANAWAKE WENGI KUJIRAHISISHA NA KUTOTII WAZAZI AU WALEZI WAO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hakuna lugha nyingine ya busara zaidi ya hiyo. Ongezeko...
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mara kadhaa nimekuwa nikiingia kwenye mahusiano na hawa dada zetu lakini baada ya muda nakuja kugundua kuwa huyo mtu niliyenaye kwenye...
Habarini wana JF!
Naombeni tujadiliane kidogo hii topic ya ubikra.
Mimi ni msichana wa miaka 23, still a virgin na kikubwa kilichonifanya mpaka leo niwe bikra ni malezi niliyolelewa ya...
Habari za asubuhi wapendwa! Bila shaka mu buheri wa afya mkiwajibika kujitafutia mkate wa siku.
Kisa hiki kimemtokea ndugu yangu, ila nitakiandika kama kimenitokea mimi.
Nipo kwenye mahusiano na...
Watu wengi wanapenda kuoa wanawake bikira, wakati unapomuoa bikira yake inakuwepo ukishambikiri anakuwa sio bikira tena. Je kuna haja ya kuhangaika na mabikira wakati bikira zao hazidumu hata week...
Wanawake wengi siku hizi hawajali tupu zao, unakuta mwanamke anagawa tu yaani utadhan sio yake vile kwanini imsisubiri muolewe muwape waume zenu. Sijui ni nyege au tama ya pesa lakini kusema kwel...
Size ya mashine haijalishi, namna huyo mwenye mashine anavyoitumia ndiyo kinacholeta raha au karaha.
Huna hela, huna kazi - achana na mapenzi focus na mambo mengine.
Kupendwa ni bora kuliko...
Habari za mida wana MMU,
Jamani hapa nimechanganyikiwa sielewi, nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto mmoja wa mwaka na ndani ya huo muda wote sijawahi kuhisi mume wangu kunicheat japo kuna...
Kwema waheshimiwa?
Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani?
NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
Habari kwenu!
Ni kwamba Kama katika maisha ya mwanaume ukiona kakuchukua na kakuweka ndani Kama mke Basi tulia na ujue kajiridhisha kuwa wewe ni mwanamke Bora na sahihi kwake na familia yake...
Wakuu mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Jana usiku ulitokea msala mmoja mimi na mke wangu.
Smartphone ya mke wangu ilivujia wino kwa bahati mbaya bado hajaipeleka kwa fundi sasa J5 aliniomba...
Siku hizi wanawake wanavyoonekana makazini sivyo walivyo majumbani kwao. Ukimshitukiza mwanamke nyumbani kwake anaweza kagoma kutoka nje kwa kuwa anakuwa kwenye muonekano halisi ambao...
Jamani ni me natafuta mwanamke wa kuanzisha naye maisha na familia pia.umri wangu ni miaka 29 kazi yangu ni mfanya biashara mdogo,location nipo mbeya kama uko tayari nichek pm
Niwatakie heri ya mwaka mpya 2023 wadau wote, Bila kupoteza muda na mameno mengi niende kwanye tatizo lililonileta labda mtaniasia kwa ushauri.
Labda nitaeleweka kwa mamsap.
Mimi ni baba wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.