Nini faida ya kuoa mwanamke ambaye ni bikira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini faida ya kuoa mwanamke ambaye ni bikira

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ngomo, Dec 4, 2011.

 1. Ngomo

  Ngomo Senior Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 199
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Watu wengi wanapenda kuoa wanawake bikira, wakati unapomuoa bikira yake inakuwepo ukishambikiri anakuwa sio bikira tena. Je kuna haja ya kuhangaika na mabikira wakati bikira zao hazidumu hata week moja? Si bora kutafuta yoyote yule aliye tulia na mnayependana kwa wakati huo?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  ni swali au maoni????????/
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mwanaume husikia raha sana anapombikiri mwanamke, na pia anajisikia faraja kuwa yeye ndiye wa kwanza kukata utepe!

  Tatizo ukizoea kubikiri utataka uendelee kubikiri. Kuna raha ya kubikiri we acha tu!
   
 4. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bikira ni mtu binafsi kuamua kujitunza,mpaka atakapo amua kutolewa.bikira haimfanyi mtu apendwe sana.ni sehemu tu ya kitu,ambacho wanaume wengi wanapenda kuikuta kwa wale wawapendao.na siyo kitu cha kudumu,ikitolewa imetolewa.
   
 5. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,978
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  bikira ni indication ya kwamba huyu mtu ana discipline na pia anaweza shinda vishawishi.....qualities ambazo u desire in a wife.
   
 6. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Chungwa kalimenya utadhani chenza,
  lishamenywa na waume wenza oooooh!!x2
  :focus:
  Nahisi huo ushauri utawafikia wahusika wenyewe!!!
   
 7. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Anakukumbusha mbali sanaaaaaaaaa! mwili unakusisimka sukikumbuka sikuileeee! lol.
   
 8. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180

  hapana nadhani ni ushauri...demu wake amembikiri lakini saizi anagawa kama nini...!!! Teh teh mpe pole sana
   
 9. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  unamatatizo ya akili wewe !!!
   
 10. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,323
  Likes Received: 2,312
  Trophy Points: 280
  Acha kujibembeleza kwa kupata Used wako.BIKRA INA RAHA Yake bhana.
   
 11. M

  Mligo pius Member

  #11
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Moja ya faida ya mwanamke bikra ni kwamba wewe ukiwa mwanaume wa kwanza kwake c rahisi xn mwanamke kukuacha ww mwanaume, na atakukumbuka coz ww ndo ulimfundisha mapenzi'.....daaah! Ila asikwambie m2 aliyegundua ki2 mapenzi ame2sababishia matatizo xn
   
 12. jacjaz

  jacjaz JF-Expert Member

  #12
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Aaah wapi! magari tunaendesha used na ndani full AC na yana raha zake sembuse mwanamke!? Mixer damu na maumivu,mwanamke mgeni wa tukio,unadhani mechi inanoga??? labda km unacheza mechi kwa ufahari ya kuwa nawe upo kiwanja kipya,then zitakupa raha hizo bikira! Used mzuka,tayari ishajua bali za barabara,ishavumilia mvua na jua na oil ishazunguka vya kutosha kwenye injini yoooote mara nyingi! Experience matters!
   
 13. jacjaz

  jacjaz JF-Expert Member

  #13
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ni mtazamo tu,uswazi kwetu watu wanavunja leo,kesho wengine wanaendeleza km kawa! kusahaulika au kukumbukwa inategemea na jinsi ulivyo miliki jukwaa au kiwanja siku ya tukio ht kama ni kitu used iwapo viwango vyako hakuwahi kufikishwa,ww utaendelea kushikilia namba 1 till apatikane wa kukufunika tena!
   
 14. b

  bia JF-Expert Member

  #14
  Dec 4, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acheni wenye mademu 2lovunja wenyewe 2seme,wewe ni bhana,nakuambia ni fahari yaan unajisikia fahari kuwa nae,yaan sa ingne unazama chumvin bila kinyongo,c nyie used ukizama unakumbuka kuna mjomba nae kashafanya hvyo,afu asikudanganye m2,kujua mamitindo mastail,inakua poa cna wewe kumfundisha kama mwanaume,c unakuta ji2 used bs linajipindua mpaka unasema uwi kahaba nini!kwenden zenyu kule bhana,heshma ya joho ibaki joho
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  nimepotea njia nilikuwa naelekea gengeni.
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Dec 4, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  rudi na nyanya za kutosha
   
 17. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #17
  Dec 4, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 792
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  kwann nawe unapenda gari ambayo haijajambiwa na wajapani kabisa!?
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kama alikua anatoa tiGO?
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hahahahahah
  kila mwamba ngoma......
   
 20. MWANAWAVITTO

  MWANAWAVITTO Senior Member

  #20
  Dec 4, 2011
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Sory hapa ni wapi tena sijui nimepotea njia. Anyway Bikira ndo ishu bhana.
   
Loading...