Faida za kutunza bikra

Faida za kutunza bikra

MwanaSaikolojia

Senior Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
197
Reaction score
62
Wanawake wengi siku hizi hawajali tupu zao, unakuta mwanamke anagawa tu yaani utadhan sio yake vile kwanini imsisubiri muolewe muwape waume zenu. Sijui ni nyege au tama ya pesa lakini kusema kwel hii ni too much. Unakuta mwanamke kashalalwa na wanaume kama 7 hadi 10 kabla ya ndoa.

NB:huo ni wastani,so kuna waozidisha hapo) hao wanaume 7 alolalwa nao sio kma kila mmoja kaonja mara moja, kwa kifupi huwezi jua idadi kila mmoja kala mara ngapi, alaf siku unaolewa unategemea ndoa ya amani Like seriously? Mtoto tangia form 1 yeye anachezeshwa mechi tuu,hadi anafika chuo. Akija kuolewa ata ile ladha ya tendo haisikii tena maana ishapanuka sna tayar na imekomaa,either ways umuhimu wa kutunza bikra ni kama ifuatavyo

1.Ni fahari kwa mmeo mmeo atakua proud na wewe sana endapo atakukuta bikra.

2.Utakua umetunza heshima ya familia yako,kwani itaonekana wamefaulu katika suala la kukutunza.

3.Ndoa yako itakua na amani kwani hutokuja kuhisi kuwa mmeo hapigi mechi inavyostahili.. endapo utakua ushaonja miwa ya wanaume wengi ndipo utakuja kuona mmeo ana kasoro,ila kama yeye ndio atakua wa mwanzo kukupa dudu yake basi utajua kama wanaume wote wapo vile so hutochepuka.

4. Utamtia hamasa kubwa mmeo asichepuke,maana akikuta tayar umeshachezewa na vijana wa mtaani kwenu hatoona tabu nae kuonja wa mtaani kwake.

5.Utakua ni mwenywe furaha daima maana hutokua na stress za ajabu utaishi maisha ya amani sina.

6.Utakuwa umefaulu mtihani wa Mungu kwani Mungu kakemea kuzini.

7.Kila mwanamme atatamani uwe mke wake wanawake wengi siku hizi wanabakia hawaolewi cause ya mambo hya hya.

8.For several reasons, ndio yake ina chansi kubwa ya ku last longer,yaani ndoa ya milele watu wanalalamika talaka nyingi siku hizi, je mnazijua sababu zinachongia.Tafakari.

9.Saikolojia inakubali kuwa utalolifanya leo litabebwa na vizazi vyako,ukiwa ni mchapa kazi basi kuna probability kubwa kuwa wanao nao watakua wachapa kazi na ukiwa kigawa uroda usije kuwalaumu wanao baadae.

10.yote tisa, kumi ni kwamba wewe binafsi utakua na faraja kubwa sana moyoni mwako kuona kipenzi chako cha maisha mmeo utaezaa watoto nae hadi mzeeke ndio anakutoa hyo bikra, niamini dada angu,au atleast Amini Mungu kuwa hakuna best feeling duniani kama hiyo,wachache sana huipata cause wachache huolewa wakiwa wamejitunza.

Ushauri kwa dada zangu: endapo mpenzi wako atakua anakung'ang'aniza mzini kabla ya ndoa huyo hana mpango na wewe niamini mtu mwenye nia ya kuoa hawezi kushindwa kukusubiria,walaghai wengi sina amkeni, you all still have a bright future.natumai mtakua mmenielewa.
 
Ok, basi ntaitunza yangu.Though uliyoyaongea yana ukweli sio kwa asilimia zote.
 
Kuongea na kuandika ni rahisi sana. Utendaji ndo kizungumkuti
 
Ukitaja dubai hadi moyo unaenda mbio

1. Nitajie sababu tano kwanini mpaka leo na umri wako huo bado unamiliki bikira zote mbili

2. Nitajie jina la aliyekutoa bikra ya kinguonguo.

3. Lini utaniletea bikira yako niisambaratishie mbali mchana kweupe.
 
Hii kitu imekuwa adimu sana zamani mashangazi walitandika shuka nyeupe aah siku hizi katika ndoa 1000bikra mbili duh labda mswati ndo kazitungua nyingi coz vile vitoto wacha kabisa wengine tunanunua gari za dubai za japan moja kwa moja zimekuwa ghali kuzipata.
 
Umeona enh.. yaani hadi karaha.. mie Mungu anjaalie npate mke bikra.. la sivyo sioi
 
1. Nitajie sababu tano kwanini mpaka leo na umri wako huo bado unamiliki bikira zote mbili

2. Nitajie jina la aliyekutoa bikra ya kinguonguo.

3. Lini utaniletea bikira yako niisambaratishie mbali mchana kweupe.

Ni wewe au macho yangu????
 
Makubwa haya, wew unataka kuoa bikira wakati wewe sio bikira na ushawabikiri wasichana zaidi ya wawili, jiulize
  • wale uliowabikiri wataolewa na nani ili hali wewe ushachana nyavu??????
  • Ni nani aliyewatoa bikira hao waliotolewa, je wamejitoa kwa vidole au ni wanaume??????????
  • Na kwanini wewe utake bikira wakati wewe ni gari la taka.
  • Wapi wamesema mwanamke tu ndio anapaswa ajitunze??????
Wewe utoke huko na uruperupe wako utake tu kuoa bikira, kweli watu mnavituko
 
Seems like unanijua sana kuliko hata nnavyojijua mie mwenywe.. wapi nmesema kama nmeshawatoa bikra wanawake wawili?? Nilitaka kusex na demu flani ivi lakini akaniambia yupo bikra.. basi nkakataa hapo hapo.
 
Back
Top Bottom