Kajenge uepukane na kukaa na wachafuWakuu kwema?
Kuna mpangaji mwenzangu ni mpemba kahamia hapa kwetu.
Dah,hawa watu ni wachafu asee..
Hivi huko pemba somo la hygiene halijawafikia?
Ww kabila ganiJikite kwenye mada
Nadhani umempa ushauri mzuri sanaKajenge uepukane na kukaa na wachafu
Elezea huwa anafanya nini mpaka umuite mtu mchafuWakuu kwema?
Kuna mpangaji mwenzangu ni mpemba kahamia hapa kwetu.
Dah,hawa watu ni wachafu asee..
Hivi huko pemba somo la hygiene halijawafikia?
Wewe utakuwa kichogo si bure😂😂😂 BTW dhana ya usafi ina asili Kama ilivyo dhana ya uchafuWakuu kwema?
Kuna mpangaji mwenzangu ni mpemba kahamia hapa kwetu.
Dah,hawa watu ni wachafu asee..
Hivi huko pemba somo la hygiene halijawafikia?
Usipende kunihusisha na vitu vya kipumbavu mzeeKwa nini unawasema wapemba,ilhali wewe unaogopa kutaja kabila lako kyanyangwe aka kyagata
Baba wa Taifa Mwl. Nyerere aliwai sema,..."ukianza dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu huwezi kuacha...."Kwa nini unawasema wapemba,ilhali wewe unaogopa kutaja kabila lako kyanyangwe aka kyagata
umeacha kulala nyumba moja na mbuzi na ng'ombe ndiyo unajiona umewahi na kuita wenzako wachafuWakuu kwema?
Kuna mpangaji mwenzangu ni mpemba kahamia hapa kwetu.
Dah,hawa watu ni wachafu asee..
Hivi huko pemba somo la hygiene halijawafikia?