Kwenu wanawake mnaojifanya ma-FBI

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,468
8,287
Habari kwenu!

Ni kwamba Kama katika maisha ya mwanaume ukiona kakuchukua na kakuweka ndani Kama mke Basi tulia na ujue kajiridhisha kuwa wewe ni mwanamke Bora na sahihi kwake na familia yake.

Hii tabia ya kufanywa mke unaacha majukumu yako ya uku unajipa kazi ya u FBI kuanza kumchunguza utafikiri anauza madawa ya kulevya kuna siku utapigwa na kitu na hauta jua ufanye nini.

Fanya hivyo endapo unamtafutia sababu ya kuachana ila kama unatafuta sababu ya kujenga ndoa yako jiweke mbali na vitu ambavyo hajataka uvione ikiwemo simu.

Nakuambia siku utakayo kuta meseji au picha kwenye simu ya mumeo itakayo kuumiza kaa ukijua hauta pona kamwe ndio utakua mwanzo wa maumivu yako na kuharibikiwa kwako na familia yako. Trust me hauta pona kamwe.

Simu ya mumeo achana nayo fanya yako hayo hayakuhusu yatakuumiza maisha yako na utaumia haswa na hauta jua ufanye nini?

Kuna wimbi kubwa la wanawake wamejikuta wanaishia kwenye umalaya kisa tu walisoma meseji na kuwa disappointed kwa walio yakuta na kuishia kuharibu familia zao.

NB: Kama mmeo anajari familia na wewe mwenyewe inatosha Sana wewe kuwa na furaha na kuimarisha familia yako.

Jifanye mbishi Ila trust me utaumia,utalia na hauta pona kamwe.
 
Mimi nitaishika kuikagua hadi siku nitakayokufa kwa presha. He is my husband na tunashare Kila kitu including hiyo simu yake. Sijapata sababu ya msingi ya kutokushika simu yake

Kama mtu ni mzinzi; presha utaipata tu hata usipokagua simu yake; unapeleka mbele tu siku zako za kupatwa na presha. Siku utakayoamka umeambukizwa magonjwa aliyoyatoa huko nje, au unaletewa watoto aliozaa nje basi presha itakuchukua tu. Madhara ya uzinzi yapo palepale ni suala la muda tu. Bora hata niikague, unaweza ukazuia madhara mengine yasitokee

Tuache kuzisingizia simu, hazina ubaya wowote; ni sisi ndiyo tunazitumia simu vibaya kufanya ufirauni wetu.

Ntamlinda kwa maombi na kwa "mbwinu" nyingine zozote nazoweza including kufuatilia nyendo zake.
 
Mimi nitaishika kuikagua hadi siku nitakayokufa kwa presha. He is my husband na tunashare Kila kitu including hiyo simu yako. Sijapata sababu ya msingi ya kutokushika simu yake

Kama mtu ni mzinzi; presha utaipata tu hata usipokagua simu yake; unapeleka mbele tu siku zako za kupatwa na presha. Siku utakayoamka umeambukizwa magonjwa aliyoyatoa huko nje, au unaletewa watoto aliozaa nje basi presha itakuchukua tu. Madhara ya uzinzi yapo palepale ni suala la muda tu. Bora hata niikague, unaweza ukazuia madhara mengine yasitokee

Tuache kuzisingizia simu, hazina ubaya wowote; ni sisi ndiyo tunazitumia simu vibaya kufanya ufirauni wetu
Wanawake mna kazi sana mwanaume akitaka kucheat huwezi kumzuia hata kidogo ana mbinu nyingi sana
 
Ni vigumu kumchunga mwanaume... tena nasisitiza ni vigumu...

Ukitumia nguvu kumchunguza ndo utazidi kumpoteza...

Kama wewe ni mwanamke na una IMANI na MUNGU umuombee mume wako sana...

Maombi yako yanaweza kumtoa ktk vishawishi...

Uzuri ni ubatili bali mwanamke atakayemcha BWANA ndiye atakayesifiwa.
 
Na mwanamke hachunguziki...
 
Mimi nitaishika kuikagua hadi siku nitakayokufa kwa presha. He is my husband na tunashare Kila kitu including hiyo simu yako. Sijapata sababu ya msingi ya kutokushika simu yake

Kama mtu ni mzinzi; presha utaipata tu hata usipokagua simu yake; unapeleka mbele tu siku zako za kupatwa na presha. Siku utakayoamka umeambukizwa magonjwa aliyoyatoa huko nje, au unaletewa watoto aliozaa nje basi presha itakuchukua tu. Madhara ya uzinzi yapo palepale ni suala la muda tu. Bora hata niikague, unaweza ukazuia madhara mengine yasitokee

Tuache kuzisingizia simu, hazina ubaya wowote; ni sisi ndiyo tunazitumia simu vibaya kufanya ufirauni wetu
Kila raheli mama hukatazwi .... Ila usije ukakuta wa nje anamautundu kukushinda na ndio ikawa tiketi yako ya kuachana na huyo umpendae ..... Safari njema
 
Mimi nitaishika kuikagua hadi siku nitakayokufa kwa presha. He is my husband na tunashare Kila kitu including hiyo simu yako. Sijapata sababu ya msingi ya kutokushika simu yake

Kama mtu ni mzinzi; presha utaipata tu hata usipokagua simu yake; unapeleka mbele tu siku zako za kupatwa na presha. Siku utakayoamka umeambukizwa magonjwa aliyoyatoa huko nje, au unaletewa watoto aliozaa nje basi presha itakuchukua tu. Madhara ya uzinzi yapo palepale ni suala la muda tu. Bora hata niikague, unaweza ukazuia madhara mengine yasitokee

Tuache kuzisingizia simu, hazina ubaya wowote; ni sisi ndiyo tunazitumia simu vibaya kufanya ufirauni wetu
Mama kasema...
Tukaguliwe tu ili tukae kwenye mstari. Mbona na sisi huwa tunazikagua simu za wake zetu kwa kushitukiza?
Ndoa ni kulindana na kutunzana,kinyume na hapo hakuna furaha hakuna ndoa...
 
Habari kwenu ....!

Ni kwamba Kama katika maisha ya mwanaume ukiona kakuchukua na kakuweka ndani Kama mke Basi tulia na ujue kajiridhisha kuwa wewe ni mwanamke Bora na sahihi kwakwe na familia yake.

Hii tabia ya kufanywa mke unaacha majukumu yako ya uku unajipa kazi ya u FBI kuanza kumchunguza utafikiri anauza madawa ya kulevya Kuna siku utapigwa n
Kama haupo kuwa na mke acha mara kutesa mtoto wa watu
 
Back
Top Bottom