Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wapendwa JF nawasalimu, Kwanza kabisa nishukuru waasisi wa JF na memba wote, naimani kubwa nitapata msaada humu kwa kua kabla ya kua member nimekua nikifuatilia makala na mada moto moto na baadhi...
2 Reactions
113 Replies
31K Views
Nina free time ya kutosha kwa sasa natafuta ke wa kuchati nae mambo mbalimbali za mapenzi, pesa, ndoa mahusiano na mambo mengine ya kimaisha nitamshauri atanisahuri kama upo njoo pm
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Habari za maisha ndugu zangu wa jf.. Matumaini yangu ni wazima wa afya njema huku mkiendelea na majukumu yenu ya kila siku.. Back to the main point.. Ni mwaka mmoja sasa umepita tangu niachane...
5 Reactions
120 Replies
30K Views
Habari za jumapili, Shikamooni wakubwa wote. Kwanza nishangae ni jinsi gani mtu anaweza kukata tamaa au kukatisha tamaa wenzake Kwa kudhani jambo fulani haliwezekani kumbe ni yeye anaangukia...
13 Reactions
72 Replies
3K Views
Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini...
31 Reactions
490 Replies
13K Views
Holla! i'm a boy age 33yrs old, Muslim, i have one kid. I am looking for a single lady for a serious relationship in the future. She should be between 20yrs and 30yrs old, muslim, with no or...
4 Reactions
8 Replies
775 Views
Wakuu,nipo kwenye 40s,mke wangu alitangulia mbele za haki,nina watoto watatu,mkubwa yupo la saba Sasa huko ujanani nilikua na hawara,kwa kweli mzuri kuliko marehemu mke wangu ambaye ni huyo...
6 Reactions
51 Replies
2K Views
Kuna mtu nilikua namshughulikia usiku wa leo,kavaa mashanga kiunoni..binafsi mimi hayajanivutia,nimeona kama ni uchafu tu. So maybe help me to understand, hiyo mishanga huwa inaongeza nini wakti...
13 Reactions
71 Replies
5K Views
Wakuu nadhani mko salama,. Ntajaribu kutumia codes isijekua wahusika wako humu nikawa nimechomoa betriii,. Ni hivi,. Kuna last born wa bibi yetu ambaye mwaka huu mwezi9 anatarajia kufunga ndoa...
44 Reactions
268 Replies
9K Views
Na msimamo huu wa kutoweza kwenda chumvini nitaishi nae vp huyu mtoto wa Kinorway?!!! Nasikia huko kunyonyananyonyana ndo mtindo wao wa mahaba. Isitoshe, huu utumiaji wao wa toilet paper tu...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Sijajua hasa siri ni nini. Huyu dada mchana wa jana tumekaa sehemu mi nakula zangu ugali nyama choma nashushia na machozi ya sheta chupa moja. Viti ni virefu vya mbao amekaa meza moja nami kiti...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Imagine unaolewa na mwanaume 1. Handsome 2. Ana elimu 3. Uchumi wa kati 4. Anabusara. Na kubwa zaidi ni rijali hasa kunako 6*6. Wengi wa mtaani utakua ana elimu na uchumi atleast. Ila ni mbaya...
6 Reactions
65 Replies
2K Views
Habar wana JF, Naimani mko wazima. Kiukweli nimekuwa na wasiwasi na safari ya wife, sijui kwanini lakini ni safari ambayo siielewi kabsa wakuu. Nina mashaka nayo coz naona mapicha picha tu. Ni...
72 Reactions
783 Replies
61K Views
Heeey,. Hope you good. Najua haiwahusu lakini leo ni birthday ya wazazi wangu wote wawili😍😍😍.. ( Wanashare birthdate lakini kila mmoja na mwaka wake)... But naandika huu uzi special kwajili ya...
18 Reactions
61 Replies
3K Views
Acha tufunge maneno vizuri leo. Hivi unajua kuna watu wanaoa kama vile wanafanya biashara ya madawa ya kulevya? Yaani, kimyakimya, bila mashahidi, bila kujulisha hata mbwa wa jirani. "ndoa ya...
0 Reactions
3 Replies
500 Views
Habari za wakati huu wakubwa Niende kwenye maada lengwa, mimi nina miaka 35 kwa sasa na katika mahusiano yangu nime date nao kwa 80% ni wachaga hata wale wa hit and run ..wengi ni wachaga. Wadada...
42 Reactions
242 Replies
12K Views
Jua tatizo la nguvu za kiume Leo katika zama hizi za sayansi na teknolojia tatizo la kupungua nguvu za kiume limekuwa kubwa sana, siyo Tanzania tu, bali duniani kote. Jambo muhimu analopaswa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Niaje wakubwa Ni Asubuhi njema na kupendeza, kumekucha kumepambazuka. Eeeh bhana nikiwa kwenye harakati za hapa na pale akapita mdada mrembo aseee. Macho yangu hayakuweza kukatika kwake na nikaona...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Hapo zamani za kale, msichana mrembo alichoka na maisha yake ya ndoa na alitaka kumuua mume wake. Siku moja asubuhi alikimbilia kwa mama yake na kumwambia: "Mama, nimechoka na mume wangu, siwezi...
17 Reactions
57 Replies
3K Views
Habari! Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100% Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda...
95 Reactions
1K Replies
40K Views
Back
Top Bottom