Siku niliyoacha kulala kwenye nyumba za wanawake

Siku niliyoacha kulala kwenye nyumba za wanawake

makilo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
2,678
Reaction score
5,387
Niaje wakuu?

Leo sasa hivi hapa ninapoandika kisa hiki nakiandikia TEMEKE HOSPITAL kuna mshkaji mpangaji mwenzangu kaliwa ndogo, yani masela wakukodiwa wamemvisha shanga wakammwagia mafuta ya kura ndoo ndogo mwili mzima ila kumlainisha.

Kisa kilichomkuta mshkaji ndio nadhani kingenikuta mimi tar 25-12-2014 Mbezi beach kwa Jenny.huyu bibie nilikutana nae kwenye harusi ya mshkaji wangu m1 hivi,sikumchelewa fasta nikamtia maneno mtoto wa kichaga akajaa.nikamuuliza umeolewa? Ooho wanaume wenyewe wakuoa wako wapi myb wewe namuomba MUNGU uje kuwa mume wangu sitaki kutapatapa maradhi mengi" mi nikaona yees mambo si hayo bwana.

Ki ukweli nilimuamini kindakindaki yani zile za yeye kuja kulala kwangu kuanzia ijumaa mpka juma pili anasema kwake,full ma upendo yani zile za mme wangu uko wapi? Unafanya nini umekula? Nakutumia sample za vitu hapa ulizia bei niambie nataka ukaniwekee nyumbani kwangu(namaanisha ghetto kwangu)

Tatizo huyu bibie kuna nyakati ilikuwa nikimpigia cmu anakuwa ameniblock au anakata machale yakanicheza nikawa nikimuuliza au umeolewa anakuwa mkali mkali hatari,nikiwauliza rafiki zake wanaishia kuniuliza kwani shem yeye Jenny anasemaje?(Jenny sio jina lake harisi)

Nisiwachoshe wakuu siku na tareh tajwa hapo juu nikatimba kwake kwa miadi yake ebwana ucku wakati tunaandana nampasha pasha moto ili nimtindue ki sawa sawa simu yake ikawa inaita kuipokea tu jamaa hajaongea sana njoo utufungulie geti kisha simu ikakatwa demu anaaanza ooh sory naomba ujifiche mume wangu karudi mi nikazani utani ila nilivyomuona jinsi anahaha nikajua anamaanisha,aiseeh jamani jamani nilipanda juu ya dari kiasi kwamba hata sikujua nimepandaje.panya wote walishuka chini maana hawakutegemea kama mida ile mibovu kuna mtu ataenda kupiga nao story,chafya zilinibana lakini niligundua kumbe inawezekana kuipiga ndani kwa ndani pasipo kuskika.

Nilichomshukuru MUNGU sikusikia mtu kutafutwa wala ugomvi zaidi ya kuskia shemeji shemeji nyingi na badae asubuhi Jenny akipigwa mikasi hapa roho iliniuma nikatamani kushuka nikakinukishe mana mi mwenyewe sio boya.

Mshkaji baada aondoke naona Mara kanitafutie supu Mara nasubili nipigiwe simu akawa haeleweki nashukuru aliondoka ndipo mlinzi wa panya nikashushwa kwanza sikuamini kama kule juu nilipanda bila ngazi.

Wanawake wana roho mbaya sana eti ananiuliza umenuna? Sory sikukwambia mapema Yule ni mme wangu mwanajeshi muajiliwa wa JWTZ yupo lugalo akipataga of huwa anakuwa home but siku nyingine huwa anatoroka kama Jana usiku hakuniambia kama anarudi na alikuja na rafiki zake wawili.ki ukweli niliona anatoa utetezi wakiboya boya nakumbuka niliondoka peku ndala nikaenda kununua kama mita 200 hivi ndio niligundua natembea peku toka siku hiyo sijawahi sintowah na sitaki kulala nyumbani kwa mwanamke hawaaminiki hawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom