Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Samaleko... Ilibaki kidogo tu nidondoshe chozi lakini lilipotaka kudondoka nikakumbuka ule wimbo "wanaume tumeumbwa mateso!" halafu kabla haujaisha huo wimbo vizuri nikakumbuka pia wimbo wa...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
ALIAMINI VITU HALALI KUTAFUTA MUDA WOTE NI FEDHA NA WANAWAKE. Unamkumbuka gwiji wa Kenya marehemu Asentus Ogwella Akuku "Danger" ambaye inasemekana alioa mara 130, talaka 80 na kuzaa watotozaidi...
1 Reactions
2 Replies
450 Views
Katika mapenzi kuna mengi na mnapo kutana mwanaume na mwanamke kila mtu anakuwa na vitu apendavyo na kila mtu anafanya kumfanya mwenzie awe na furaha sasa kwanini mwanamke akionyesha utundu ambao...
8 Reactions
146 Replies
4K Views
Wakuu aisee hawa wanawake wa siku hizi hata aibu hawaoni? Yaani mwanamke from nowhere anaanza kuniomba sex kabisa yaani nimeshangazwa sana aisee yaani bila aibu wala soni mwanamke ananiomba ngono...
0 Reactions
4 Replies
491 Views
Habari Yako kaka magical power Naomba ushauri kidogo kama unaweza kunishauri naitwa lea nina miaka 44 nimtu mzima😭💔, nilikutana na mkaka mtandaoni ambaye yy ana miaka 49. Tukawasiliana hatimae...
19 Reactions
85 Replies
5K Views
Kwenye stage ya ujana mahusiano mengi huanzishwa hapa ndio tunapokutana na kila aina ya tabia na hali tofauti za kiuchumi kati ya wenza, unaweza kutana na mabinti ambao siku ya kwanza tu mnaonana...
10 Reactions
78 Replies
3K Views
Today is all about you, Mahondaw, the light of my life, the one who makes my world brighter just by being in it... Every moment with you feels like a beautiful gift, and today, I celebrate the...
41 Reactions
261 Replies
8K Views
Katika pita pita zangu nimekuja kugundua hii ndo style the best kumkojoza mwanamke. Haijalishi una size gani ukiitumia vizuri atakojoa na atakajoa tena. 1. Missionary Position au Kifo cha Mende -...
14 Reactions
78 Replies
5K Views
Kama clip inavyojieleza, ungekuws wewe ndiye mke au mume ungefanyaje ukitokewa na hali kama hii?
0 Reactions
2 Replies
396 Views
Najua wengi mnakumbana nayo haya, wanandoa kama sio analala kwa watoto basi atakaa sebuleni mpaka usiku wa manane arudi chumbani Huyu ndiye anaitwa mke, ndoa zimeficha mambo mengi sana, kesho...
21 Reactions
241 Replies
23K Views
Nina hasira sana baada ya huyu anayejiita oil chafu kwa kunitajia ndugu yangu wa karibu kabisa, kwenye list yake ya tatu, ina pain sana aisee. Sijui nitampataje?
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Kwa nini wadada wakitaka kwenda kwa wapenzi wao, watasema wanataka ela ya kusuka ili waje, hii ina maana gani? Nimefanya utafiti kwa wadada kadhaa, nikagundua hili; kati ya wadada 10, 8 watasema...
8 Reactions
100 Replies
3K Views
Kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu wanawake kuolewa halafu Wanaambiw waache kazi na waume zao. Yaani mfano mwanamke ni mwalimu akishaolewa anaambiwa acha kazi ukae nyumbani nitakuhudumia kwa...
22 Reactions
680 Replies
38K Views
Habari wakuu Nimekuwa na msemo mkubwa sana ambao umekuwa ukitumika sana, "tafuta pesa". Hasa linapokuja masuala ya kuhonga, lakini ndugu unaweza ukajisifu unahonga ila kuna watu wanahonga sana...
18 Reactions
62 Replies
5K Views
Wakuu hii issue ni ngumu kidogo naomba tuwe serious kutoa ushauri badala ya kulaumu, shit happens sometimes! Hebu vaa hivi viatu kisha toa ushauri. Una familia yako mke na watoto na una mchepuko...
19 Reactions
74 Replies
7K Views
Najua huwezi kuamini kua mimi sijakuchukulia mkeo na kwa taarifa yako sikujua kua alikua nimkeo. Siku ya kwanza nilipokutana nae nimkuta anauza mihogo kando kando ya barabara huku kijasho...
3 Reactions
15 Replies
976 Views
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu. Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa...
19 Reactions
196 Replies
15K Views
Imagine mwanamme unaitwa babe sijui baby, yaani mtoto? Hii sio kweli. Kwa mwanamke ni sawa, sababu hata kwa kiswahili tunawaita watoto yaani 'totoz' au 'bebez'.... kwa mwanamme ina maana gani...
25 Reactions
131 Replies
4K Views
Habari za muda mrefu wana jukwaa. Iko hivi nina rafiki yangu yeye ana mtoto mmoja yaani single mum, sasa ana mwanaume wake. Huyo mwanaume wake kipindi wanaanza mahusiano hata mimi nilikuwa nawaona...
22 Reactions
351 Replies
13K Views
Naomba kuuliza, Hawa wadada wazuri wazuri wenye shepu zao, wanaocheza cheza na kuonyesha maungo yao kwenye mitandao ya kijamii, wanamaanisha wamekosa waume wa kuwaoa na wapo kwa ajili ya...
21 Reactions
186 Replies
11K Views
Back
Top Bottom