Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari ya usiku wandugu, Jamani mimi nimepatwa tatizo leo, kuna binti anafanya kazi na mdogo wangu leo nilienda kumsalimia dogo nikamkuta yupo na huyo mwenzie nae ni muajiriwa wa hapo. Huyo binti...
2 Reactions
34 Replies
8K Views
jamani habari zenu hasa wadada huu ni ujio wenu ,mimi ni mkaka mwenye miaka 32. Ni muhitimu wa ngazi ya shahada, afisa elimu ngazi ya sekondari kwa sasa, na nina imani ya juu ndani ya kristo yesu...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
UAMINIFU NDIO KINGA KUU Simu zimevunja ndoa nyingi za watu. Na mtu akikaa kando ndio anajishangaa. Na kujiuliza ni simu tu au? Kwani simu ni kitu kidogo ambacho ukikidharau hautadumu kwenye ndoa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Malalamiko ya wanandoa kutokuwa waaminifu miongoni mwao yamekuwa mjadala wa sasa kiasi cha watu kuanza kushutumiana na wakati mwingine kuharibu mahusiano yao na hatimaye kuachanisha mahusiano ya...
5 Reactions
64 Replies
7K Views
You used to call me on my You used to, you used to Yeah You used to call me on my cell phone Late night when you need my love Call me on my cell phone Late night when you need my love And I know...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
ADABU YA MUME KWA MKEWE. 1. Usitangaze udhaifu wa mkeo kwa familia na marafiki, kila mmoja anamtunzia mwenziwe hadhi yake. 2. Usiwe na mtizamo mbaya wala kuzungumza naye kwa hisia kali huwezi...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
"Love Yourself" For all the times that you rain on my parade And all the clubs you get in using my name You think you broke my heart, oh, girl for goodness' sake You think I'm crying on my own...
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Yamenikuta mimi mwenzenu hata sijui nifanye nini, ila kwa kifupi ni kuwa nimepata ushahidi bila chenga kuwa mke wangu na mfanyakazi wa ndani ama house girl wanasagana. Bado sijamwambia mke wangu...
2 Reactions
73 Replies
21K Views
Wana JF, Sina raha kabisa. Nimejaribu kulala lakini imeshindikana. Vidonge vyangu vya usingizi vimeniishia kabisa. Niliwahi kuleta mada juu ya mpenzi aliyeniacha ingawa muda wote ameniganda...
8 Reactions
174 Replies
21K Views
Ila kiu halisia wanawake wa maskini wasio na hela ni watamu zaidi,maana tunawapa treatment ambazo hawajawahi kukutana nazo maisha yao yote.
1 Reactions
7 Replies
3K Views
KADIRI SIKU ZINAPOPITA NA MAMBO HUBADILIKA. ZAMANI ILIKUWA UNAFUNGA SAFARI KWENDA WASABAHI NDUGU JAMAA NA WENGINEO. KWA SASA HAKUNA. PIA TEKNOLOJIA IMECHANGIA. VIVYO HIVYO UFAHAMU NA UELEWA WA...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Nawashangaa wakaka wa leo hawana vifaa vya kuji link na watoto wa ukweli! Kupata mtoto wa ukweli wala hata haihitaji uwe na mpunga au mkoko wa maana. Ni vile unavyoji package tu. Pale inapotokea...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Kwanini watu wanasema moyo wangu umependa? Kwanini sio akili ,macho? Sababu kupenda kitu macho ndo yanaona, meseji inapelekwa kwenye ubongo, ubongo unafanya interpretation kama kitu kizuri, kibaya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarini wana MMU, Naamini uko salama na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku. Kwanini wanandoa wengi hawana maendeleo mazuri kiuchumi ingawa utakuta wote ni wafanyakazi! Kwanini...
1 Reactions
68 Replies
8K Views
UKIMALIZA KUSOMA HADI MWISHO JIULIZE, WEWE NI MTUMWA WA NANI? Pamoja na kuishi kwenye dunia yenye uhuru mkubwa, bado watu wengi wanaishi maisha ya kiutumwa. Watu wengi wanaishi maisha ambayo...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Wabongo tuishio uswahili bhana shida sana ukimkosea kidogo tu shida. mfano amekusalimia ujamsikia vizuri ujamuitikia atakuambia haya maisha tu . Nao Mademu watakuambia unadharau sana au unajiona...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mi ni kijana wa miaka 22, natafuta msichana anayejielewa na mkristu mcha Mungu ani pm.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
6 Habits That Are Hurting Your Manhood If I ask you that with which body part you and your friends relates the word manhood the most, then what should be your answer? Yes, you are right, like most...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UKIAMUA JAMBO FANYA LEO USINGOJE KESHO Kwenye jambo lolote kubwa unalotaka kufanya, kwenye mipango yote mikubwa uliyojiwekea, usiangalie ukubwa na kuona unahitaji nguvu za ziada au muda wa...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari Jf, tuelimishane kuhusu SABABU ZITAKAZO KUFANYA WEWE BINTI USIOLEWE:- ★1. Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama changudoa. Sijui ni nani aliyewaambia kuwa mkivaa hivyo mnapendeza! ★2. Kujipaka...
11 Reactions
62 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…