Question: Does it matter who massages you; male or female?

Question: Does it matter who massages you; male or female?

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
I recently complained of lower back pain, my wife and I went to a nearby hospital,, who recommended for a massage to the region. When the lady that was to massage me wanted to start, my wife strongly objected to it, saying that the massage should be done by a male. I called it off because a fellow man can’t massage me.
QN: does it matter who massages you; male or female?
 
Massage yafaa mkeo, jamaa kichachamaa? Utammasaji mwenyewe?

Ila kama ki tabibu zaidi labda, ila mwenzi wako yafaa awepo.
 
Mkeo afundishwe tu!!!

Mwanaume mwenzio tena halafu ulale kifudifudi!!!!?????
 
Jiulize mkeo akiwa ana fanyiwa massage na mwanaume utajisikiaje?
 
Mfanyie training mkeo ili akufanyie massage u solve every thing
 
I recently complained of lower back pain, my wife and I went to a nearby hospital,, who recommended for a massage to the region. When the lady that was to massage me wanted to start, my wife strongly objected to it, saying that the massage should be done by a male. I called it off because a fellow man can’t massage me.
QN: does it matter who massages you; male or female?

Ni jambo la hatari sana kumuachia mwanaume mwenzako achezee mgongowako....alafu mbaya zaidi ni kwamba, wale jamaa huwa wanatumia mafuta fulani yanayoteleza...
 
Mfanyie training mkeo ili akufanyie massage u solve every thing

Mmmmmhhhh miss chagga mi haya yalishanikuta. Shosti nilibahatika kujifunza massage katika pita pita zangu za maisha. Basi si nikajipendekeza kumfanyia sweet potato... ebwanaee nilikomaje. Kila siku au baada ya siku mbili anataka. Bidada niende kazini, nirudi na foleni nimechoka mbaya, nisaidie mapishi pale home, huku watoto... ukiingia ndani hoi mtu ndo anataka na massage... mwe jasho nilikuwa linantoka mpaka kwenye makalio ndugu yangu loh! Ukimuomba yeye akufanyie anasema hajui. Nalala kama gogo nimechoka... nikasema nini... baba nenda kwa mwanamke aku massage isiwe tabu! Kisa nini haswaaaa... akaaa!
 
Ati nimpe mwanaume mwenzangu mgongo wangu tena mafuta yapo in arm's reach. Akitia kidole utamlaumu? Hapo wife akileta privatization namlipia kozi asome yeye tuhamishie therapy chumbani....
 
Mmmmmhhhh miss chagga mi haya yalishanikuta. Shosti nilibahatika kujifunza massage katika pita pita zangu za maisha. Basi si nikajipendekeza kumfanyia sweet potato... ebwanaee nilikomaje. Kila siku au baada ya siku mbili anataka. Bidada niende kazini, nirudi na foleni nimechoka mbaya, nisaidie mapishi pale home, huku watoto... ukiingia ndani hoi mtu ndo anataka na massage... mwe jasho nilikuwa linantoka mpaka kwenye makalio ndugu yangu loh! Ukimuomba yeye akufanyie anasema hajui. Nalala kama gogo nimechoka... nikasema nini... baba nenda kwa mwanamke aku massage isiwe tabu! Kisa nini haswaaaa... akaaa!
ngoja apewe training alafu aone shughuli yake ...
 
I recently complained of lower back pain, my wife and I went to a nearby hospital,, who recommended for a massage to the region. When the lady that was to massage me wanted to start, my wife strongly objected to it, saying that the massage should be done by a male. I called it off because a fellow man can't massage me.
QN: does it matter who massages you; male or female?
Bora uli-call it off....maana ungeanza kujua utamu wa mkono wa kiume!

Halafu tena kifudifudi? Damnnnnnnnnnnnnnnnn...no way!
 
Aiseeee!!!!! Hatareee!!!! Mi sikubali kitu kama hicho. Achilia hilo la massage,kuna siku nilienda kunyoa saloon, huwa baada ya kunyoa unaenda sehemu ya kuoshwa au scrub (inategemea utakavyochagua). Mimi kwa haraka sikutaka scrub nikawa nataka kuosha tuu niondoke zangu. sasa siku hiyo nimekuta binti wa kuosha hayupo aisee ilibidi mwanaume mwenzangu anioshe nilichukiaje? mikono imefubaa na kukomaa mpaka nilijisikia vibaya
 
Yaani mwanaume mwenzako akufanyie massage??? Big NO!!
 
Sioni ubaya wowote labda iwe tu wewe mwenyewe ukiwa na mawazo mabaya(perverted).....mnashangaza sana.....yaani hamwezi fanya lolote lile bila kuwaza kishetani, mara ngono kila mara....duh!....dunia kweli inaudhi....yaani mawazo machafu mbele nyuma...hadi kanisani...labda nyakati za mwisho ni hizi...yaani hata ndugu hawashikani mikono kwa upendo tena wakitembea mtaani kama ilivyokua enzi za babu....uuuurgh!....heri Bwana Yesu arudi tu!
 
Back
Top Bottom