Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
1. Nini unataka ktk maisha yako.
Wengi wa vijana hujiingiza kwenye ndoa bila hata kuwa na idea ya kile anachokitaka maishani, hii ni mbaya sana kwani anaishi ilimradi liende.
2. Nini unataka ktk ndoa.
Hapa wengi wameshaongelea, wengi hujiingiza kwenye ndoa kwa mihemko, mimba, kupendezesha jamii, na vitu kama hivyo. Hana idea ya aina gani ya mahusiano anayoitaka kiasi kwamba hajui jinsi ya kufanyia kazi ili aweze kupata kile asichojua anakihitaji. Wengi wanasema nataka kuzaa lkn wanasahau kuwa hapo ni kutengeneza família. Kuzaa hata nyau anazaa lkn kutengeneza família tena yenye furaha na amani ni zaidi ya kuzaa.
3. Nani anashare na wewe ndoto zako.
Huyo mwenza utakayempata anashare na wewe hizo ndoto au malengo yako? Huo ni mtihani mkubwa sana kwa wengi. Kuna wanaoolewa ili kuondoa nuksi, kuna wanaofuata financial stability, kuna wanaofuata makaratasi, (hapa kuna ndugu yangu mmoja ni muhanga wa hii, ambapo alilazimika kumuoa mkewe ili aweze kubaki UK, matokeo yake walivyorudi TZ mke kamsaliti na ndoa kuvunjika) kuna wanaoa ili mradi aonekane kamuoa miss Ilala n.k. Msiposhare vision hiyo ndoa is as good as dead.
4. Unachokitaka ndicho kiwe kipaumbele chako.
Ukijua nini unachokipata, basi ni rahisi kujua jinsi ya kukipata na jinsi ya kukimaintain. Kama ni happy family basi unatakiwa ufanye kila kitu ndani ya uwezo wako kuachieve hiyo. Usigive up haraka, na kama huyo mwenzi wako mnashare naye vision basi mtafanya kwa pamoja kuhakikisha kipaumbele chenu kinabaki mbele.
5. Uwezo wa kukipigania hicho unachokitaka.
Kama nilivyosema hapo juu, you have to fight for what you want. Kuna watu watakuja na maneno na hata ushahidi ili kuondosha furaha na amani ktk família yako; fight them, fight for your family kwa silaha zote za kimwili na za kiroho.
Siku njema.