Samaritan Nemesis
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 239
- 285
wadau mnazungumzia vipi kuhusiana na hizi kinga(mipira/condoms) ni kweli zinapunguza maambukizi ya VVU, au ndo kampeni ya kula vi"jero jero'" vyetu tuu???
Kinga ya kweli ni uaminifu wako mwenyewe asikudanganye mtu[/QUOT: 😕uaminifu wako mwenyew,kwan unananiliu mwenyew?😕
wadau mnazungumzia vipi kuhusiana na hizi kinga(mipira/condoms) ni kweli zinapunguza maambukizi ya VVU, au ndo kampeni ya kula vi"jero jero'" vyetu tuu???
kwa hesabu ya kawaida tu shs 500 inaweza kuokoa maisha yako?