Natangaza hali ya hatari kwa Konki×3 Master

Natangaza hali ya hatari kwa Konki×3 Master

functional

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
738
Reaction score
795
Nina hasira sana baada ya huyu anayejiita oil chafu kwa kunitajia ndugu yangu wa karibu kabisa, kwenye list yake ya tatu, ina pain sana aisee.

Sijui nitampataje?
 
Waliambiwa wakapime kama siyo kweli akafungwe, VP mmejaribu kwenda hospital labda ili tupate pa kuanzia?? Haya mambo ni siri sana hats kama ni ndugu yako, mfano eneo ninaloishi kuna watu wenye hadhi zako ukiambiwa hauwezi kuamini kabisa maana wanafanya mambo haya kwa kificho sana sanaa.!
 
Back
Top Bottom