Huu wimbo unakamata wazee na vijana!, haujalishi ni mtoto wa alfu mbili ama alfu tatu!.
Milindimo yake haichoshi, sauti za waimbaji wake wameitenda ile kazi ya fasihi!.
Sasa kama huyo mpenzi wako...
Maumivu ya MAPENZI hayana msaidizi hutembea kwenye mishipa ya damu kabisa, unaweza kulala mwili tu lakini akili na moyo zikakesha zikitafuta utulivu na usipatikane
Unaweza kuongea pekee yako na...
Habari zenu
Kuna mwanamke tumezaa watoto watatu, baada ta kuona chemistry haziendani tukaamua kuachana.sasa mwenzangu kila status ninayoweka whatsapp lazima anihoji ni nani na inahusiana na nini...
1. Hasira za mara kwa mara
Mtu ambaye hajafanya mapenzi kwa mda mrefu upatwa na hasira kwa uharaka hata katika mambo madogo hata yasiyo na maana yeye huyatilia maanani.
2. Kuumwa kichwa mara kwa...
wakuu kila sehemu ninayofika mademu wanachanganyikiwa hasa wale warembo sana
yani unakuta kama nimeenda sehemu kupata huduma mademu wote wahilo eneo wanaojihisi niwarembo hasa wanajipitisha...
Ni dada ambaye nimempenda naye kanipenda.lakini ana mtoto wa miaka 5 huyu mtoto amedekezwa sana. Mimi kwangu ni kero kwa kweli. Mtoto ananyonya vidole? Mtoto anayenyonya vidole namwona ni toto...
Mume anaoa ili atimiziwe haja za ngono na huduma nyingine za msingi za nyumbani ikiwemo kupikiwa chakula, kufuliwa nguo, kutandikiwa kitanda.
Mke anaolewa sababu ya kutafuta usalama wake na...
Wakuu,
Kuna mzee mganga wa kienyeji,ana wake wanne wote ni chini ya umri wa miaka 40,wote anawahudumia vizuri tu,kila mwaka mmoja wao anakuwa na mtoto.
Mwanzo nilikuwa nadhani ukiwa na umri...
Miaka ya nyuma nilikuwa na msichana wangu mweupe(ugonjwa wangu aisee) Ni msichana ambae nilimpenda sana kwa sababu wenge la mapenzi ndo alinitoa yeye.In short nae alikuwa mzuri sana(according to...
Mapenzi kuvunjika ni sehemu ya kawaida kabisa kwa maisha ya sasa lakini kuna jambo la kuzingatia hapa.
Mapenzi huwa yanauma sana pale ambapo mwenza wako anaondoka anakuacha ghafla ukiwa mpweke...
Audio:
Chanzo:
Nilimsajilia line kwa jina langu, sasa nimegundua ananificha mwanaume mwingine... je, msamaha wake ni wa kweli?
Mwili wa Uzi:
Naomba msaada wa mawazo ya kweli kutoka kwa watu...
Habari Wakuu
Binafsi nimejikuta nikiingia na mahusiano na mke wa mtu lakini ilikuaje?
Nilijikuta ninampenda binti mmoja kwa mara ya kwanza nilivyomuona nikamwiita na nikaongea nae na akanipa...
Taharuki Imetanda huko HomaBay Baada ya Mwanaume kubomoa nyumba aliyowajengea wakwe zake baada ya binti yao kumtaliki na kuolewa na mwanaume mwingine baada ya ndoa yao ya miaka tisa."
Homa Bay ni...
Hivi kweli hii inaingia akilini, Jinsi wanawake walivyo warembo, wanavutia, ni Raha kuwa nao karibu.. Lakini licha ya wanawake kuwa warembo na wanaovutia sana, imekuaje sisi wanaume tukaamua...
Natumai wote humu mu wazima wa afya [emoji41].
Leo ni siku weekend kama mnavojua siwe wengne hapa jamii forum ndo kijiweni pa kubadilishana story mbali mbali tukiwa tumejipumzisha ndani na...
Kaka nilikutana na huyu mwanamke akiwa amepigika nikamzoa Hadi Akawa mtu katika watu, alikuwa anatembeza soksi na nguo za nd0ani mtaa Kwa mtaa amepauka miguu ndara zimekatika.
Nilimpa Msaada...
Siku kadhaa nyuma nilileta uzi unaoelezea jinsi msichana wangu wa kazi anavyonifanyia vituko. Baada ya Yule binti kulewa na kulala kwenye kochi, nikampeleka chumbani kwake nikamlaza kitandani...
Epuka haya mambo matatu ambayo ni machukizo masikioni na mioyoni mwa wasichana wa kisasa;
1. DNA test
2. Virginity
3. Accountability
Usitafute ugomvi usio na ulazima.
Ni mimi baba yako.
Consigiere
Shikamooni wakubwa wote
Mara nyingi nikileta Mada zangu humu naambiwa hapa siyo fesibuku,mara JF imevamiwaa ,mara nini sijui,
Sasa swali langu ni hil
Kwani fesibuku na JF upi mtandao mkubwa,na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.