Nimenasa

Nimenasa

47pro

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
1,204
Reaction score
334
Wasee, kwanza niaje Niaje?.
Niko hapa hivi, nlifanya schedule ya appointment na manzi flani wa udoo, juu sipendi wale manzi hungry cos wanakunga ung'ong'o.
Sasa huyu manzi wa udoo yeye amenikanja kishenzi nikatupa vibes na ndoano ime-mgwara vifiti. By the tuli-schedule appointment kwa hii resto ya carnivals, na yeye alifika before hiyo schedule hour na alikua amefika na mabesthe zake kama mtu Tatu hivi na time me nafika hiyo resto, damaged bill ilikua already 4000/=Kshs. Na hiyo ni yeye na mabesthe zake tu, for the time being sijakiss hata chupa moja!
Wasee Hebu mniambiye nijifanye I don't know her then nijitoe kiroho Safi kabla noma na mashart kushikana?
Hata kama mwanaume ni kukaa ngumu, how can I clear 4K bill na sahiyo mshahara yangu ni 10,000/=Kshs?
Aki si ni bora nitafute chips funga hata wa panchi? Ama ni kuzubaa?
 
Hizi jamaa za kwa Mzee Arap Moi kiswahili yao kwa kita ni burudani sana!
 
Mwenyewe anajiona kapiga cha uswazi dizaini ya Nature
 
Kama ingekuwa me, ningevacum kabla so haijaansa, Wacha iyo manzi hapo chukua chips funga ako na enda kukulia homee
 
Jifunze lugha kwanza kwa uandishi huu bora uendelee kunasa tu [emoji12]
 
Huyu ni mtz sema kajifanya kuandika ka mtu ya kenya.

Sema nini we nenda wachek ila kila mtu atajilipia alichokula
 
Hahaha
Mbongo ana taka kutuonesha ka master ki Ke
 
Bana ongea kiswahili au kiingereza ndo nini makorokocho haya?
 
Back
Top Bottom