Wazee heri?
Nina mwanamama anahitaji ushauri na liko nje ya uwezo wangu mie. Hivyo nimeona niwashilikishe hapa.
Kakaa kwenye ndoa miaka 22. Na kaolewa kwa nguvu si kwa kupenda; hivyo hajawahi kumfurahia mwenzie. Anadai kupigwa na kunyanyaswa toka wiki ya kwanza ameolewa, na alijaribu kuachana na mmewe lakini sababu ya watoto ikawa inashindikana.
Kwa sasa ndo mwenye kila kitu, mme ni kula, kulewa na kuuza vitu vya ndani. Sasa anadai anataka akaachane na mmewe kisheria na kutafuta mwanaume wa kuishi nae wanaependana.
Ni story ndefu nimefupisha ila hata ndugu na wazazi wake walitakaga kumtoa huko akagoma na sasa amekubali. Ila issue ana watoto 4, anawaweza ila sasa mme ndo wakiachana anaweza akachizi maana hajiwezi hata kwa chupi tu!
Huyu mwanamke anaweza kuolewa tena? Je anahitaji mwanaume wa umri gani?(yeye ana kama 42)