goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 967
- 1,207
Habari wana jamvi!
Najitokeza tena kwa mara nyingine kuomba ushauri kwenu.
Ni juu ya huyu workmate wangu, ni binti niliyemfukuzia kwa kumwambia maneno ya kila rangi ya utamu lakini akanichomolea.
Sasa kilichofanya niombe ushauri ni kuhusu huu msimamo wake ambao siuelewi, kila nikimkaribisha kwangu anakuja ila cha ajabu nakaa nae hadi ile mida ya latenight na ananipa shida tena kumsindikiza kwake tena usiku huo ilihali kuna vibaka wengi njiani.
Sasa wazoefu wa haya mambo naomba mnisaidie kwa ushauri na mawazo yenu , hivi huyu kweli anamaanisha kuwa hataki kutoa papuchi au mbwembwe tu na nifanyeje ili niweze kumbinya kwa ulaini maana nilipomtongoza akatia ngumu, niliheshimu msimamo wake lakini sasa hizo mishe za kuja na kukaa kwangu mpaka night ndo zimenifanya nifufue malengo yangu tena ya kutaka kumgegeda
Karibuni kwa mchango!