kadovela
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 471
- 679
HABARI ZA MAPUMZIKO WADAU. KUNA JAMBO LINANITATIZA NA NASHINDWA KUMUELEWA HUYU DEMU WANGU. KANIOMBA ELFU 50 NIKAMJIBU MPENZI LEO SINA HELA. MARA INAINGIA SMS IPO KIASI GANI? JAMANI NAOMBA MNISAIDIE IVI MTU AKISEMA HANA HELA WENZANGU MNAMULEWAJE? MAANA NASHINDWA KUMUELEWA HUYU DEMU