Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huenda nina uwezo wa kipekee. Kila nikikutana kimwili na mwanamke, hata kama hayuko kwenye cku zake, au hata kama nimetumia kinga au withdrawal method, baada ya mda wa cku chache mwanamke huyo...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Sio sawa kabisa kuingia katika mahusiano na mtu na kumfanya atengeneze hisia za kukupenda wewe, kumfanya mtu aamini kuwa wewe ni wa tofauti na wale wote ambao wamekwisha muumiza kihisia hapo...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wakuu, Ni hivi nina msichana wangu wa kitambo kidogo na mimi ndio nilimtoaga usichana sasa alihama mitaa yetu kuna mahali anaishi. Sasa kipindi hiki nimempa ofa ya ndoa amegoma kuishi na...
2 Reactions
69 Replies
7K Views
Nimechoka kuwa mtazamaji ngoja na mimi leo niwakilishe. Nazungumzia namna ya kumpata demu mzuri wa umbo + sura si mnajua matoz hawapendi vinyago. 1/Jiamini Mtoto wa kiume jiamini kwamba wewe ni...
20 Reactions
334 Replies
58K Views
Habari zenu wana JF, Najisikia faraja ila kwa upande mwingine ni simanzi, baada ya mikimiki na kujibana kibajeti nimefanikiwa kununua Bodaboda mpya leo hii. Nilipofika nayo tu nyumbani...
29 Reactions
112 Replies
12K Views
You are really drawn to a person. You begin to date and the chemistry grows stronger and stronger. You take things to the next level and it becomes exclusive and everything is hunky dory, kosher...
1 Reactions
193 Replies
15K Views
Hapa ni yule anayependa kuchat mostly. Anaweza ku-pm
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Unaposikia mke wa mtu ni sumu, amini. Jamaa mmoja ameota matiti baada ya kujihusisha kimapenzi na mke wa jirani. Hii ni licha ya kuonywa na mume wa mwanamke ila akajitia hamnazo na kuendelea na...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Leo nimeamka zangu na vyeti vyangu vya hospital vya Muhimbili vipimo nilivyopima ECG na ECO kitengo cha JK na X- Rey hii yote ni ni kupambana nipate mafao yangu ya Ppf pale Morocco maana kwa sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mie kiukwel napenda sana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwenye sifa zilizoainishwa hapa chini: 1. Awe msomi wa kiwango cha diploma na kuendelea. 2. Awe mchapa kazi hatari na...
3 Reactions
98 Replies
11K Views
Leo bwana ngoja nishare na washikaji wangu wa JF story za kitaa changu, Kitaa changu bwana kina drama za kutosha, drama ambazo nikianza kusimulia mojabaada ya nyingine tutakesha ila hii...
4 Reactions
39 Replies
7K Views
Aina za ndoa... 1. NDOA YA MKEKA Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana! 2. NDOA YA...
4 Reactions
23 Replies
9K Views
Sijui kwanini watu wako hivi yaani anajulikana kabisa ni mtumishi anajishughulisha sana na kazi hiyo japo ana kazi tofauti za kujiingizia kipato yaani hajawa mtumishi kamili.Cha kushangaza ni...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Katika kuishi kwangu nilishatokewa na wanawake kadhaa, na si kwamba mi ni handsome kivile isipokuwa nina sifa tu ya kuwa mwanaume. Pamoja na hayo juzi nikiwa kazini nilikutana na mfanya kazi...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
*Jihadharini na wachapaji wa kadi za harusi. Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya kadi kuchapwa na kusambazwa! Mchapaji aliombwa aweke 1Yohana 4:18 ktk kadi ya harusi lakini mchapaji...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Nakumbuka zamani ukimtumia mpenzi sms za usiku mwema au asubuhi inakuwa inaambatana na ujumbe mzito wa kimahaba utaonekana unajali sana ukimtumia mpenzi ila siku hizi sms ndefu kama zimepungua kwa...
4 Reactions
13 Replies
5K Views
Nimekutana na wanaume wengi wakilalamika kuwa akina dada siku hizi wanaendekeza sana pesa hivyo wanapata shida kupata wenza kfunga nao pingu za maisha. Yafuatayo ni makosa ambayo akina dada...
10 Reactions
62 Replies
9K Views
Hello, Hivi ikitokea bifu kati ya mke wako na mchepuko, halafu mchepuko kwa makusudi ukaanza kumwambia mkeo kuwa huyo mme tunachangia, lakini mkeo kwa madaha akaanza kuurusha mchepuko kwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mambo vipi! I hope you are fine and you are well keeping on progress to educate our societies,kuna kaka yangu anampango wa kwenda uchagani (kilimanjaro)sio tu kwa ajili ya kutafuta mchumba wa...
1 Reactions
172 Replies
39K Views
Ukitaka kujua Wanawake wanapenda kudanganywa kuliko hata kwenda saluni wewe angalia aina ya maswali anayokuuliza yalivyo. Unatongoza msichana mpya halafu kabla hata hajakukubalia...
16 Reactions
161 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…