Jinsi ya kuopoa msichana mzuri

Bitoz

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
30,823
126,549
Nimechoka kuwa mtazamaji ngoja na mimi leo niwakilishe. Nazungumzia namna ya kumpata demu mzuri wa umbo + sura si mnajua matoz hawapendi vinyago.

1/Jiamini
Mtoto wa kiume jiamini kwamba wewe ni bora kuliko wengine haijalishi wewe ni kula kulala wala nini mtoto atakushobokea tu.

2/Kuwa smart
Kismart dili bhana sio unataka mtoto mkali halafu unavaa kizobazoba tu msichana ataona so kutembea na wewe.
Darasa la kupigilia pamba kijanja


3/Usiwe domokaya
Ukimtaka msichana mkali punguza kidomodomo elewa yeye anajijua uzuri wake ongea maneno ya point tu lazima akae.

4/Usiwe na kiherehere
I mean unamtaka msichana sasa unaanza kiherehere sijui cha kujifanya una mkwanja ooh sijui nini, elewa mtoto mkali lazima awe na kibuzi wewe mega tu kisela si anataka penzi?

4/Acha maigizo
Watoto wakali hawapendi vidume vyenye maigizo kama ya bongo movie, wanapenda mapenzi kutoka kwa mayanki, ishi kama ulivyo isije ukaigiza alafu agundue una magumashi. Be real
d1b9653195684eca6980f977e56213d9.jpg


***wewe unachunwa, mi namega kisela****

Soma pia
...............................................
Combination za wapenzi !!!
................................................

Handsome wa Uswaz
The Bitoz
 
Kuna mshkaji mnaijeria huko urusi alipata demu mkaliiiii kipindi cha summer, demu akamwambia waende kuogelea jamaa akakubali ila alikuwa hawezi kuogelea, wakaenda moscw river una kina kirefu sana demu kajitosa kaogeleaaa katoka, jamaa naya kajitosa .. Dadeki .. Akanywa mimaji akafa.
 
Kuna mshkaji mnaijeria huko urusi alipata demu mkaliiiii kipindi cha summer, demu akamwambia waende kuogelea jamaa akakubali ila alikuwa hawezi kuogelea, wakaenda moscw river una kina kirefu sana demu kajitosa kaogeleaaa katoka, jamaa naya kajitosa .. Dadeki .. Akanywa mimaji akafa.
Alikuwa anaigiza na hakutaka kusema ukweli sababu hajiamini
 
Back
Top Bottom