Kwanini huu UKIMWI watu wameuona wa kawaida sana?

mzibua chemba

JF-Expert Member
Jul 18, 2016
476
412
Leo nimeamka zangu na vyeti vyangu vya hospital vya Muhimbili vipimo nilivyopima ECG na ECO kitengo cha JK na X- Rey hii yote ni ni kupambana nipate mafao yangu ya Ppf pale Morocco maana kwa sasa wamezuia fao la kujitoa kabisa, maisha ni magumu sana nikiangalia na mzigo wangu wa maana tuu sasa lengo langu ilikua ni kuwaonyesha ili wanionee huruma nipate mafao yangu.

Kufika pale reception nikaongea na mhudumu nikamweleza nimeandikiwa nikafanye CT scan na IMRI sasa uwezo sina naomba hata nipate mafao yangu sasa kunichanganya kabisa kuniambia siwezi kupata hata kama ningekua naumwa vipi maana eti hata UKIMWI siku hizi ni ugonjwa wa kawaida sana mtu unaumwa na unadunda miaka ata 30 yaani hapo nilichoka nikajiuliza kwa nini huu ugonjwa watu wameuona wa kawaida sana siyo kama zamani watu walivyokua wanauogopa.
 
Siku hizi kila kitu ni rahisi kukidhungumzia hasa ukiwaNacho..inawezekana Anao
 
Back
Top Bottom