Kiluuj
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 692
- 278
Unaposikia mke wa mtu ni sumu, amini. Jamaa mmoja ameota matiti baada ya kujihusisha kimapenzi na mke wa jirani. Hii ni licha ya kuonywa na mume wa mwanamke ila akajitia hamnazo na kuendelea na uhusiano wa kimapenzi na mke wa mwenyewe.